BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

Status
Not open for further replies.
Yaani BAVICHA wanakaa na wanataka kutoa 'msimamo wao' kabla ya kikao kilichoitishwa na KM tare 27 Nov 2020?

Hili saga usishangae BAWACHA nao wakakaa kikao na kutoa 'msimamo wao'. Demokrasia
Demokrasia ndani ya chama ni pana; tunasubiri kauli ya vijana wanasemaje kuhusu uhuni huu wa hawa kina mama kama wanaubariki ama hawaungi mkono.
 
Yaani BAVICHA wanakaa na wanataka kutoa 'msimamo wao' kabla ya kikao kilichoitishwa na KM tare 27 Nov 2020?

Hili saga usishangae BAWACHA nao wakakaa kikao na kutoa 'msimamo wao'. Troubled times!
Hawa ni baadhi viongozi wa BAWACHA waliojiteua kuwa wabunge wa viti maalumu unategemea waseme nini.

1. Halima Mdee - M’kiti BAWACHA Taifa, Mbunge vm
2. Hawa Mwaifunga - Makamu M’kiti BAWACHA, Mbunge vm
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA, Mbunge vm
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA, Mbunge vm
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA, Mbunge vm
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa, Mbunge vm
 
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.

“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.

BAWACHA iko wapi?
Kama kweli watatoa msimamo wao kabla ya kikao kilichoitishwa na Km watazibitisha CHADEMA ni mkusanyiko wa kikundi cha wanakikundi wasio na taratibu za kuendesha kikundi chako
 
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.

“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.

BAWACHA iko wapi?
Kama mkutano na waandishi wa habari utafanyikia "Ofisi za makao makuu ya Chama". watamuunga mkono Mwenye ofisi tu (Mnyika).
Labda kwa wale wanaopenda kusikiliza mipasho ndo waende.
 
Ufafanuzi gani unataka nje ya ule aliotoa Mnyika?
nguruka wa kig0ma , kuna kitu wataalamu wa management wanasema kuwa Power is invariably perasonal... kuna mtu akitoa kauli inaleta kuaminika, uzito na ku restore confidence. ndiyo maana rais inabidi sometimes aende nje akutane na rais wa USA kuliko kumtuma mtu....
 
Hawa ni baadhi viongozi wa BAWACHA waliojiteua kuwa wabunge wa viti maalumu unategemea waseme nini.

1. Halima Mdee - M’kiti BAWACHA Taifa, Mbunge vm
2. Hawa Mwaifunga - Makamu M’kiti BAWACHA, Mbunge vm
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA, Mbunge vm
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA, Mbunge vm
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA, Mbunge vm
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa, Mbunge vm
Hao ni wajumbe wa kamati kuu ya Chadema!
 
Akili gani hizi? Madhali kamati kuu itakaa kesho kwa ajili ya kujadili jambo hilo hilo, wao kutaka kuzungumza leo ni kama utovu wa nidhamu, bila kujali wanataka kuongea nini.
Nadhani wanataka kutoa maoni yao,,hukusikia wito wa Mnyika kwamba wanachama watoe maoni yao kabla ya tarehe 27?
 
Kama anahusika na wale akina mama wana baraka zake, ataendelea kupiga kimya tu mpaka siku wanachama watiifu wakishakubali matokeo. Siasa ni sayansi. Siasa ni ajira. Siasa ni biashara
“Mwenyekiti wa chama Mh. Mbowe ndiye atakaeongoza kikao cha kamati kuu ya chama kitakachofanyika tarehe 27 na ndiye atakayetoa maamuzi ya kamati kuu”. - JMnyika.
 
nguruka wa kig0ma , kuna kitu wataalamu wa management wanasema kuwa Power is invariably perasonal... kuna mtu akitoa kauli inaleta kuaminika, uzito na ku restore confidence. ndiyo maana rais inabidi sometimes aende nje akutane na rais wa USA kuliko kumtuma mtu....
Inategemea na suala husika,na sheria,kanuni na taratibu zinasemaje
Siyo kila jambo linataka kauli ya mtu mmoja.

Ndiyo maana watu wenye akili kubwa wanamwona mkuu wa nchi anavuka mipaka ya kiutendaji iliyowekwekwa kisheria

Hichi unachosema hutokea pale ambapo jambo limeshindikana ndipo huyo mmoja mwenye mamlaka kufanya hivyo

Au kuna jambo la haraka na hatari ndipo hutumia nafasi hiyo.

Mfano nchi imevamiwa na hatuwezi subiri kamati ya ulinzi na usalama ikae,au baraza la mawazili likae au bunge.

Amiri jeshi mkuu anatoa amri kukabiliana na adui ndipo vyombo vingine navyo vinachua nafasi yake nk.
Mzazi kama hufutia sheria na taratibu mlizojiwekea nyumbani na watoto ndivyo watakavyoishi.

HAPA NDIPO MLIPOFIKIA CCM,
 
Bavicha ikamjadili Bawacha chama hakina mpangilio!
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.

“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.

BAWACHA iko wapi?
 
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.

“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.

BAWACHA iko wapi?
Chadema kila mtu kambale....Juma Duni Haji
 
Hichi unachosema hutokea pale ambapo jambo limeshindikana ndipo huyo mmoja mwenye mamlaka kufanya hivyo
Mtafaruku uliopo na stake ya uhai wa CDM ni kuwa lazima top executive alitolee kauli yake, not through KM or any other delegate!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom