mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Itasaidia kuwafukuza haraka wale wabunge maalumu wa Ndugai kwa haraka.Itasaidia kuleta muafaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itasaidia kuwafukuza haraka wale wabunge maalumu wa Ndugai kwa haraka.Itasaidia kuleta muafaka?
Demokrasia ndani ya chama ni pana; tunasubiri kauli ya vijana wanasemaje kuhusu uhuni huu wa hawa kina mama kama wanaubariki ama hawaungi mkono.Yaani BAVICHA wanakaa na wanataka kutoa 'msimamo wao' kabla ya kikao kilichoitishwa na KM tare 27 Nov 2020?
Hili saga usishangae BAWACHA nao wakakaa kikao na kutoa 'msimamo wao'. Demokrasia
Ipo ccmKamati kuu ipo?
Hawa ni baadhi viongozi wa BAWACHA waliojiteua kuwa wabunge wa viti maalumu unategemea waseme nini.Yaani BAVICHA wanakaa na wanataka kutoa 'msimamo wao' kabla ya kikao kilichoitishwa na KM tare 27 Nov 2020?
Hili saga usishangae BAWACHA nao wakakaa kikao na kutoa 'msimamo wao'. Troubled times!
Kama kweli watatoa msimamo wao kabla ya kikao kilichoitishwa na Km watazibitisha CHADEMA ni mkusanyiko wa kikundi cha wanakikundi wasio na taratibu za kuendesha kikundi chakoKamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.
“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.
BAWACHA iko wapi?
Ufafanuzi gani unataka nje ya ule aliotoa Mnyika?Ndiyo maana nasema Mbowe alitolee msimamo ambao ni final and conclusive
Sawa sisi watanzani ninyi ni wanyarwanda ndiyo mnatutawala kwa mkono wa chumaWaTz kazi yao kubwa kulalama mitandaoni, na tutawanyoosha kweli kweli.
Kidumu chama cha kijani
Kama mkutano na waandishi wa habari utafanyikia "Ofisi za makao makuu ya Chama". watamuunga mkono Mwenye ofisi tu (Mnyika).Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.
“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.
BAWACHA iko wapi?
nguruka wa kig0ma , kuna kitu wataalamu wa management wanasema kuwa Power is invariably perasonal... kuna mtu akitoa kauli inaleta kuaminika, uzito na ku restore confidence. ndiyo maana rais inabidi sometimes aende nje akutane na rais wa USA kuliko kumtuma mtu....Ufafanuzi gani unataka nje ya ule aliotoa Mnyika?
Hao ni wajumbe wa kamati kuu ya Chadema!Hawa ni baadhi viongozi wa BAWACHA waliojiteua kuwa wabunge wa viti maalumu unategemea waseme nini.
1. Halima Mdee - M’kiti BAWACHA Taifa, Mbunge vm
2. Hawa Mwaifunga - Makamu M’kiti BAWACHA, Mbunge vm
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA, Mbunge vm
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA, Mbunge vm
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA, Mbunge vm
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa, Mbunge vm
Sikio haliwezi kuizidi kichwa!Tunasubiri msimamo wa Mbowe siyo hao watoto vya BAVICHA!
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!Sikio haliwezi kuizidi kichwa!
Nadhani wanataka kutoa maoni yao,,hukusikia wito wa Mnyika kwamba wanachama watoe maoni yao kabla ya tarehe 27?Akili gani hizi? Madhali kamati kuu itakaa kesho kwa ajili ya kujadili jambo hilo hilo, wao kutaka kuzungumza leo ni kama utovu wa nidhamu, bila kujali wanataka kuongea nini.
“Mwenyekiti wa chama Mh. Mbowe ndiye atakaeongoza kikao cha kamati kuu ya chama kitakachofanyika tarehe 27 na ndiye atakayetoa maamuzi ya kamati kuu”. - JMnyika.Kama anahusika na wale akina mama wana baraka zake, ataendelea kupiga kimya tu mpaka siku wanachama watiifu wakishakubali matokeo. Siasa ni sayansi. Siasa ni ajira. Siasa ni biashara
Inategemea na suala husika,na sheria,kanuni na taratibu zinasemajenguruka wa kig0ma , kuna kitu wataalamu wa management wanasema kuwa Power is invariably perasonal... kuna mtu akitoa kauli inaleta kuaminika, uzito na ku restore confidence. ndiyo maana rais inabidi sometimes aende nje akutane na rais wa USA kuliko kumtuma mtu....
Hebu nioneshe huyo waitara alipo,alishinda ubunge?Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.
“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.
BAWACHA iko wapi?
Chadema kila mtu kambale....Juma Duni HajiKamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.
“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.
BAWACHA iko wapi?
Mtafaruku uliopo na stake ya uhai wa CDM ni kuwa lazima top executive alitolee kauli yake, not through KM or any other delegate!Hichi unachosema hutokea pale ambapo jambo limeshindikana ndipo huyo mmoja mwenye mamlaka kufanya hivyo