Jitukali 333
Member
- Jul 11, 2019
- 44
- 29
Hapo hamna cha kusamehe.Watumie hekima wawasamehe, waendelee kuwa wamoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hamna cha kusamehe.Watumie hekima wawasamehe, waendelee kuwa wamoja.
Lakini wako 20 na yule wa Nkasi,kwahiyo nadhani itabidi wabadili jina!Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa.
Hata Halima na Ester Bulaya wangeachwa kwenye ile orodha wangesema kama walivyosema walioachwa.
Wabunge wenyewe wa viti maalum wanajiita 'Covid 19' wakiashiria idadi yao
Nadhani yuko sahihi ameitikia wito wa katibu mkuu wa chama chake kwamba wanachama wapeleke mapendekezo ya ni hatua gani zichukuliwe.Huyu mwenyekiti anafokafoka tuuu hata hajui cha kusimamia. Umoja wa vijana wanatakiwa kuwasilisha mapendekezo kamati kuu kwa baraka. Yeye anaitangazia dunia, je kamati kuu ikikataa ku adopt mapendekezo watakwenda mahakamani.????? Anachofanya huyo dogo ni insubordination kwa kamati kuu, yeye ndiyo afukuzwe
Bibi yako mzaa babu yako alikudokeza hivyo nini?Drama drama drama, mnazidi kufanywa wajinga ili msijue nani yuko nyuma ya haya yote ambao ni Tundu Lissu na Mbowe.
Vya haramu mwisho Lumumba, FUKUZAA...!Wakiwafukuza na ruzuku hawapati