BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa.

Hata Halima na Ester Bulaya wangeachwa kwenye ile orodha wangesema kama walivyosema walioachwa.

Wabunge wenyewe wa viti maalum wanajiita 'Covid 19' wakiashiria idadi yao
Lakini wako 20 na yule wa Nkasi,kwahiyo nadhani itabidi wabadili jina!
 
Nadhani yuko sahihi ameitikia wito wa katibu mkuu wa chama chake kwamba wanachama wapeleke mapendekezo ya ni hatua gani zichukuliwe.
 
Siipendi ccm ila Chadema na nyie mmezidi kwa drama sana..huo ni upumbavu et
Hakuna mtu anae mpambania meingine kwenye maisha..hao waachwe wakale maisha bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…