Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Unazidi kujichanganya, real criminals wanawazidi akili, badala ya kuwawajibisha, mnawatetea tena kwa nguvu zote, so sad!
Kwa nini wao Halima na genge lake hawakutumia hekimaWatumie hekima wawasamehe, waendelee kuwa wamoja.
...anaLOMOKWA tu...Huyu mwenyekiti hajitambui kabisa,poleni chadema mmemuokota wapi????
Naona Mdee ghafla amekuwa kipenzi cha CCM.
Watavuna walichopanda.Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa....
Mwambie Ndugai aliekutuma hizi pumba mkawape kuku wazile.John Pambalu anaROMOKWA tu...
Kweli Chadema kila mtu ni Kambale yaani kulikuwa na haja gani ya kuitisha press conference wakati Kamati Kuu haijakaa!Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa....
Wamejiaibisha sana.
Ukiwa na harusi ya binti yako, majirani na waalikwa wakawa na furaha kuliko wana familia, jiulize, kuna tatizo kubwa hapo.Naona Mdee ghafla amekuwa kipenzi cha CCM.
Mwanamke sio Mdee pekee na hao wenzao, Bawacha wapo wengine wakutosha tu.Ukimtimua tu HALIMA MDEE...
Mke wa Mbowe ni Dr Lilian acha kuchafua watu wewe.A
afukuzwe Mke wa Mbowe😂😂 unaota wewe
Mbinguni shetani aliitwa Lusifa(mleta nuru)/nyota ya alfajiri, kabla ya anguko.... walikuwa wanamwita "iron lady".
Halima hivi alishindwaje kulinda heshima aliyoijenga kwa jasho na damu miaka zaidi ya 15 akiwa mbunge. Hata kama ni hela mshahara wa miaka yote alikuwa anapeleka wapi