Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema isipowafukuza akina mdee na kikundi chake waliojiuza kitumwa kwa Ndungai watambue kuwa chadema inafariki haraka na ghafra kama CUF ya LipumbaHuyu mwenyekiti anafokafoka tuuu hata hajui cha kusimamia. Umoja wa vijana wanatakiwa kuwasilisha mapendekezo kamati kuu kwa baraka.Yeye anaitangazia dunia, je kamati kuu ikikataa ku adopt mapendekezo watakwenda mahakamani.????? Anachofanya huyo dogo ni insubordination kwa kamati kuu, yeye ndiyo afukuzwe
Bwashee hiyo fursa wamepewa na nani?Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa.
Hata Halima na Ester Bulaya wangeachwa kwenye ile orodha wangesema kama walivyosema walioachwa.
Wabunge wenyewe wa viti maalum wanajiita 'Covid 19'
Alikwambia nani kuwa Chadema Ina shida ya ruzuku.Eti mtoke BUNGENI....
Je hizo RUZUKU mtapata WAPI?
Jipongezeni kwa kufanikiwa kupata mateka wa kuoneshea wazungu kuwa mna upinzani bungeni.
Hii ndiyo njia pekee ya kuinusuru chadema kinyume na hapo chadema inafariki ghafra kama CUF ya Lipumba na kusahaulika kabsaKamati kuu CHADEMA fukuza hawa wote19 tusonge mbele.
Waende tu kuunga juhudi ili wapate vyeo na pesa ya kula raha.
Kundi ambalo linawakilisha mtu katika vikao vya maamuzi vya kamati kuu ya chama unawezaje kuliita kuwa ni kama sisimizi?![emoji848][emoji848][emoji848]BAVICHA ni sisimizi tu hapo Ufipa!
Bwashee hiyo fursa wamepewa na nani?
Covid-19 😂Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa.
Hata Halima na Ester Bulaya wangeachwa kwenye ile orodha wangesema kama walivyosema walioachwa.
Wabunge wenyewe wa viti maalum wanajiita 'Covid 19'
Uko kama mtoto, kila kitu siyo mimi, siyo mimi, siyo mimi, ...
Kamati kuu CHADEMA fukuza hawa wote19 tusonge mbele.
Waende tu kuunga juhudi ili wapate vyeo na pesa ya kula raha.
Wewe na wenzio mnatia aibu. Tumieni hekima walau kidogo, mdicomment kama ubungo uko likizo. Nguvu yote hiyo mbayotumia kuhalalisha ukiukwaji wa taratibu kwa CDM inaashiria kuna jambo....
...anaLOMOKWA tu...
Mahakamaccm huwa haitoi haki kwa chadema ndiyo maana hawa hawataki kwenda hukoHawa vijana waongowaongo tuuuu.Kama walikatamata mabox kwa nini hawakupeleka polisi.Uongo huu ndiyo mtu wenu ameupeleka kwa wazungu nao wakaupokea. Haki inatafutwa mahakamani leo kweli chadema wameshindwa kupeleka issue hii mahakamani huku vielelezo wanavyo.Kuweni serious you chadema
Tatizo lenu hamuamini kile Halima alichosema kuwa mwenyekiti katoa baraka lakini mnataka wafukuzwe bila kujua kwenye bahasha ya mwenyekiti kuna nini Subirini kesho,mtaaibikaChadema isipowafukuza akina mdee na kikundi chake waliojiuza kitumwa kwa Ndungai watambue kuwa chadema inafariki haraka na ghafra kama CUF ya Lipumba
Hahahahaa haya bana!Wamepewa na wapiga kura
Mnaendeshaje chama bila RUZUKU?!!Alikwambia nani kuwa Chadema Ina shida ya ruzuku.