Bora heshima kuliko kuchukua ruzuku haramu za kishetani na chadema inafariki na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya LipumbaHela ya dhuluma ni "ipi"?
Hivi nyumba za IBADA wanazipiga CT SCAN fedha TUZITOAZO eee?!!
Mkiwafukuza kina MDEE mnakwenda KUKOSA RUZUKU NA KUUMIA KIUCHUMI...
Mnataka msiwalipe MISHAHARA STAFFERS wenu?!!!
Mimi naunga mkono Wanawake wabaki bungeni na chamani na ni CHADEMA damu damu, lakini huu wako hapa ni upotoshaji! Unajulikana siku zote, lakini kwa taarifa yako, CHADEMA ilisimamiaha wagombea ubunge Wanawake majimboni wengi kuliko wanaume. Kuna mwenzako, Wakudadavua, alianzisha uzi hapa kwamba Halima Mdee anajenga mfumo jike, feminism, kwa kushinikiza wagombea wanawake!Mwaka jana kulivuja sauti ya wabunge wa Chadema Said Kubenea na Anthony Komu wakipanga njama za kumuuwa Boniface Jacob ili hatimae wafanikishe adhima yao ya kumng'oa Freeman Mbowe kwenye uenyekiti wa chama.
Baada ya sauti hizo kuvuja mara moja chama kilitangaza kikao cha dharura cha kamati kuu kuwahoji ili waweze kuchukuliwa hatua kali sana ikiwa pamoja na kufukuzwa Chadema.
Matokeo yake baada ya kikao cha kamati kuu hao wabunge wauaji walisamehewa na kutakiwa kuomba radhi tu!!!
Kama hali ni hiyo, wabunge wa viti maalum Chadema si wauaji na wala hawajatishia kumuuwa mtu yoyote ila wanajaribu tu kutumia haki yao ya kikatiba iweje wafukuzwe Chadema?
Kweli kuwa mwanamke Chadema ni dhambi kubwa kuliko wapanga mauaji waliosamehewa??
Tusubiri na kuona kesho kikao cha kamati kuu chadema kitaamua nini ,bila shaka Mbowe is going to be tested again na maamuzi tofauti na kufukuza yatamwimalisha ,na maamuzi ya kufukuza hao wanawake itakuwa ni kiss of death kwa Mbowe na Chadema kwa ujumla.
Mimi si mnufaika wa MGAO nisioujua...Wewe ndiyo mnafiki kubariki vitendo haramu vya kishamba na kishetani vilivyofanywa na akina mdee kisa wewe ni mnufaika wa huo mgao, acheni kuchezea kodi za watanzania kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
Mfumo jike umetumika kujiteua kienyeji kwenye utumwani kwa Ndungai kwani hawakufuata utaratibu wa kuchukua watu fresh ambao hawakugombea majimboni , mfumo Jike umetumika kuubaka uteuzi wa viti maalum kwa njia haramu za kishetaniHivi huko Bavicha hakuna mwanamke kiongozi ambaye angeweza kutoa ilo tamko. Ni aibu wanaume kushinikiza maamuzi yao juu ya wanawake. Ndio maana wanetengewa viti maalum. Mfumo dume inabidi ukomeshwe.
🤣🤣🤣Bora heshima kuliko kuchukua ruzuku haramu za kishetani na chadema inafariki na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya Lipumba
Mmmhwalikuwa wanamwita "iron lady".
Mkuu Minyoo, lengo la hawa wanafiki ni kutufarakanisha Sisi kwa Sisi! Nakuhakikishia Sisi tuna umoja na Halima Mdee na wenzake 18, kuliko huyu! Mdee ni wa kwetu, na ameshawai kupigania chama kwa kila khali, usimtoe kwetu na kumuunganisha na huyu $&@“;#%!Wewe ndiyo mnafiki kubariki vitendo haramu vya kishamba na kishetani vilivyofanywa na akina mdee kisa wewe ni mnufaika wa huo mgao, acheni kuchezea kodi za watanzania kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
Kamati Kuu ya Chadema haikuonyesha leadership. Imebidi Wakinamama wafanye maamuzi waliyoona yanafaa. Wameshaapishwa, ndio wabunge waliopo.Mfumo jike umetumika kujiteua kienyeji kwenye utumwani kwa Ndungai kwani hawakufuata utaratibu wa kuchukua watu fresh ambao hawakugombea majimboni , mfumo Jike umetumika kuubaka uteuzi wa viti maalum kwa njia haramu za kishetani
Hamna SHUKRAN na chochote....Mwanamke sio Mdee pekee na hao wenzao, Bawacha wapo wengine wakutosha tu.
Hayakuhusu enenda ukafuatilie mgao wa ruzuku huko kwenu ili muongezewe bk7 ni ndogo ukilinganisha na juhudi zako/zenuHela ya dhuluma ni "ipi"?
Hivi nyumba za IBADA wanazipiga CT SCAN fedha TUZITOAZO eee?!!
Mkiwafukuza kina MDEE mnakwenda KUKOSA RUZUKU NA KUUMIA KIUCHUMI...
Mnataka msiwalipe MISHAHARA STAFFERS wenu?!!!
Wewe ni Dalali wa mchongo tokea kwa Ndungai mwana CCM mwenzako hisia zako koko za kuzani hutajulikana zitupe kule Tambua inajulikana ni mnufaika wa huo mgao wa Dili haramu la kishetani la kuwauza wanawake tokea chadema kwenda kwa Ndungai kienyejiMimi si mnufaika wa MGAO nisioujua...
Mimi si mwanaCHADEMA...
Huwa ninampinga MDEE katika baadhi ya mambo...ila kwa HILI amewazidi HOJA NA MANTIKI....
MWENYE BUSARA HUINAMA SEHEMU INAYOTAKA HIVYO VINGINEVYO NI KUUVUNJA MGONGO WAKE....
Siasa ni zaidi ya hisia zenu KOKO....
Siasa ni mapambano MAREFU YENYE STRATEGIES NYINGI...Kama ile ya MBOWE kumsajili mh.LOWASSA....
KALAGHABAHO
Katika kusoma kwangu vitabu/novels na nilikutana na msemo kwamba,"kila binadamu ananunulika,anaweza kununuliwa,ni Swala la kiasi Cha pesa,au cheo anachoaidiwa.Unbelievable Halima anaweza kufanya alichofanya! YUda Escariote!
Huu ni mchezo anaye chezewa ni ccmNaunga mkono wafukuzwe.
Chadema halisi ilikuwa ya Dr Slaa,Chadema ni Strong Party, kweli haiwezi kufa hata kwa nini. Inapitia kila njama; real party, The Going is getting tough, but as it is Tough by itself, it is still going, towards the emancipation of the motherland!!
Kama unasaka uteuzi kupitia hili Dili lako haramu sahau kuhusu uteuzi kwani laana ya pesa za walipa kodi mnazotafuna kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa itawameza woteMimi si mnufaika wa MGAO nisioujua...
Mimi si mwanaCHADEMA...
Huwa ninampinga MDEE katika baadhi ya mambo...ila kwa HILI amewazidi HOJA NA MANTIKI....
MWENYE BUSARA HUINAMA SEHEMU INAYOTAKA HIVYO VINGINEVYO NI KUUVUNJA MGONGO WAKE....
Siasa ni zaidi ya hisia zenu KOKO....
Siasa ni mapambano MAREFU YENYE STRATEGIES NYINGI...Kama ile ya MBOWE kumsajili mh.LOWASSA....
KALAGHABAHO
Pesa iliyotumika kuwanunua kitumwa hao wanawake tokea chadema ni pesa nyingi mno ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi ndiyo maana wananchi wanakasirika pesa zao za kodi kutumika hovyo kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa