BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

Mna hofu gani, kwa niaba yenu, Ndugai yupo atawapokea na kuwalinda kama yule wa Ndada aliejivua uanachama mwenyewe. Watakuwa wabunge wenu.
Kamati Kuu ya Chadema haikuonyesha leadership. Imebidi Wakinamama wafanye maamuzi waliyoona yanafaa. Wameshaapishwa, ndio wabunge waliopo.
Kamati Kuu ya Chadema haina mamlaka ya kumvua mtu Ubunge
 
Unbelievable Halima anaweza kufanya alichofanya! YUda Escariote!
Njaa kaka..! Wengi wao ‘Nje’ ya shughuli za kibunge hawajajiwekeza vya kutosha kuweza kuendesha maisha yao. Pathetic.

Halafu ndio wanaongoza kutaka Vijana ‘Wajiajiri’
 
Chadema halisi ilikuwa ya Dr Slaa,
Hii hata haieleweki!
Subiri Mbowe store tamko la kuwabeba hao strong woman tuone bavicha na Mnyika aibu wataiweka wapi?
Slaa nayeye alikuwa mwizi ndiyo maana alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba canada akatoroka, pesa za walipa kodi zinatumika hovyo kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Hayakuhusu enenda ukafuatilie mgao wa ruzuku huko kwenu ili muongezewe bk7 ni ndogo ukilinganisha na juhudi zako/zenu
🤣🤣🤣

Sawaaa....

Tunakumbushana tu ya kwamba MNAWABAGUA WANAWAKE na mfumo wenu DUME hapo CHADEMA....

Ya kwamba safari hii HALLIMA MDEE amekataa kuwa STAMP ya kupitisha "majina ya MWENYEKITI"...
👆👆👆👆

Hapo ndipo mzozo ulipoanzia 🤣🤣
 
Chadema mbona Ina nguvu mpaka Sasa.
Au umesahau kuwa watu wale wa chamwino Ni kura feki na wizi wa kura ndo vimewasaidia?.
Hauwezi kusema chadema imekufa wakati ccm wameiba kura na kutengeneza kura feki
Chadema halisi ilikuwa ya Dr Slaa,
Hii hata haieleweki!
Subiri Mbowe atoe tamko la kuwabeba hao strong woman tuone bavicha na Mnyika aibu wataiweka wapi?
 
Unazidi kujichanganya, real criminals wanawazidi akili, badala ya kuwawajibisha, mnawatetea tena kwa nguvu zote, so sad!
Nyumbu hawana kumbukumbu Tena, kila wanachoambiwa na Mbowe yanafuata tuu HAKUNA kufikiria.
Sasa leo nyumbu wanaambiwa eti viti maalum wamejipeleka wenyewe wanakubali!
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Umenunuliwa na mdee hadi umejitoa fahamu zote hujui kuwa hata mdee katimia mfumo Jike kujiteua kienyeji kishamba na kishetani kwenda utumwani mwa Ndungai pasipo kufuata utaratibu sahihi, kama ndiyo unasaka uteuzi kwa mbinu hii sahau milele hutakaa upate uteuzi
 
.. na kwakuwa katibu mkuu amesema wanaruhusu maoni na mapendekezo ya wanachama ili chama kiweze kuchukua hatua, sisi kama kamati ya utendaji tumekaa na tumeamua kwa kauli moja tuishauri kamati kuu ya chama ichukue hatua kali ..
Ukisoma between the lines hapa kwenye “kuruhusu maoni na mapendekezo ili chama kichukue hatua” utaona bila shaka mchezo huu unakwenda kuisha vipi.

Kama chama kina sheria, kanuni na taratibu zake, do you really need kusikia mapendekezo ya wanachama na wafurukutwa? Hivi wale waliofukuzwa huko nyuma nako wanachama walipewa option ya kutoa maoni yao?

Tarehe 27 Nov ni kesho though na it is almost certain wale 19 watasamehewa labda na kupewa the so called ‘karipio kali’
 
Kama unasaka uteuzi kupitia hili Dili lako haramu sahau kuhusu uteuzi kwani laana ya pesa za walipa kodi mnazotafuna kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa itawameza wote
Kila awekaye hoja kinzani NANYI basi huvizia UTEUZI?!!

TEUZI ZIMEANZA leo?!!!

Wote wanaoteuliwa huwa WANAPINGA HOJA ZENU humu?!!

Acha kudhihaki watu...

Tatizo lenu MNAUMBUKA NA MFUMO WENU DUME anaoumwagia marashi MWENYEKITI Mbowe....

Hallima Mdee amegoma kuwa STAMP ya kubariki "majina ya wabunge wanawake"
👆👆👆👆👆
Hapo ndipo lianzapo hili SAKATA,,🤣
 
CHADEMA inapita kwenye tanuru la MOTO.

CHADEMA itazidi kuwa mto mkali, wasaliti watajiengua tu.
Mapambano ya uhuru hayaji kiurahisi, VIJANA WA CHADEMA simameni na wananchi.
Nawapongeza.
Bado yaleyale, wimbo huohuo mmeibishwa Hadi leo akili za kufikiria hamna.
Endelea kusubiri chadema Moto mkali.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Haya wapokeeni kwa amani, muwape ubunge wa CCM, kambi upinzani
 
Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa.

Hata Halima na Ester Bulaya wangeachwa kwenye ile orodha wangesema kama walivyosema walioachwa.

Wabunge wenyewe wa viti maalum wanajiita 'Covid 19' wakiashiria idadi yao
Tuwaache waendelee na mivutano yao. Sisi tunaandaa mashamba mvua zinanyesha
 
Naona Mdee ghafla amekuwa kipenzi cha CCM.
Mlisema hawaendi, Sasa mmeguza eti kipenzi Cha CCM, nyumbu mtaimbishwa hizo nyimbo kila siku na saccos inaendelea kuwafanya nyumbu kila siku.
 
Iko wazi kabisa, wengi tulimpenda na kumthamini sana, lakini kachemsha.
Na huyo atakaetambulika ndani chama kuwa alikuwa mbia wa njama hizo nae hivyohivyo.
... ndio hivyo Mkuu; yeye kapima kipi bora (kwake) kati ya mapenzi ya mashabiki wake na 1.4bn/- in just 5 yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…