BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

Chadema ni Strong Party, kweli haiwezi kufa hata kwa nini. Inapitia kila njama; real party, The Going is getting tough, but as it is Tough by itself, it is still going, towards the emancipation of the motherland!!
Mbowe oyeeeeeeeeeee
Halima mdee oyeeeeeeeeeee
Nyumbu oyeeeeeeeeeee
 
🤣🤣🤣
Naona Argumentum ad hominem tu....

Sina MAWASILIANO na Mdee...na huwa sijawahi kuwa nae karibu....

Kwani nilikuwa ninampinga KIHOJA asiwe tena mbunge wa KAWE...Leo hii nimekuwa kipenzi chake eee?!!!

Ninasimamia UKWELI kuwa ACHENI KUWABAGUA AKINA MAMA...
ACHENI MFUMO DUME NA UPENDELEO HAPO UFIPA...

THAMININI mchango wa Hallima James Mdee na wenzake...

Msaliti na Mnafiki wa KWANZA Ni wewe MINYOO...kwani ULIGOMA KWENDA KATIKA MAANDAMANO YA AMANI KUPINGA UCHAGUZI...

Kalaghabaho
 
Chadema ipo ICU na kesho ndiyo kupona au kufariki na chadema itapona tu endapo itawafukuza hao watumwa waliojipeleka kwa Ndungai kienyeji kwa njia haramu za kishetani lakini chadema wakija na upumbavu wa kuleta porojo mara kalipio kali kisa njaa za ruzuku watambue kuwa chadema inafariki na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Haya ngoja tuapishane kama hatima yake viti maalum hamtaingia. Msijidai hamtambua matokeo ya uchaguzi kwa sababu mumeshindwa uchaguzi vibaya. Mbona hamzungumzii mbunge wa nkasi mbunge pekee wa chadema aliyeshinda jimboni?
Semeni ukweli tu.. hapa ni kugombea mlo mfano wa fisi kwenye mzoga. Kwanza wagombea viongozi wa chama mashuhuri wanaume kwa wivu na choyo wanataka chama kususia kwa kua wao wamepoteza viti vyao. Pili wanataka kama ni kwenda viti maalum waenda wake zao au mahawara zao. Hapo ndio nao bawacha wanaona hawawezi kunyimwa haki yao.
Kuhusu uteuzi wa nasrat hanje kwamba hawezi kuteuliwa akiwa rumande sio hoja kwani ni kitu kinawezekana. Kwa nini hawajiulizi mbona lissu amejaza fomu na kupitishwa kugombea akiwa wala hayupo nchini.
All in all kinachodhihirika chadema ni genge la kuendeleza maslahi binafsi wala sio chama kwa maslahi ya watanzania.
 
Haya wapokeeni kwa amani, muwape ubunge wa CCM, kambi upinzani
Mnakwenda kuwavuruga wanaCDM....

Leo Hallima Mdee Ni Mnafiki wa kustahili kuja CCM?!!!
Mtu aliepambana USICHANA WAKE WOTE mpaka leo amekuwa dada mtu mzima?!!

Mnafiki na msaliti ni yeye ama WEWE kutokutoka YALE MAANDAMANO YA AMANI?!!

Minyoo hakuandamana.....
SKY ECLAT hakuandamana....
ERTHYROCYTE hakuandamana...
Salary Slip hakuandamana.....

Mdee Kalala mahabusu na kudhalilika mara KIBAO....
Esther Matiko mpaka VIDEO ZIPO....

WOTE HAO NI WASALITI EEE?

ILA MBOWE ALIYEBADILI GIA ANGANI BAADA YA MSHENGA KWENDA...na mh.Lowassa kuingia...ule haukuwa Ni USALITI NA UNAFIKI EEE?!!!
 
Wewe ndiyo mnafiki unahama hama mara kwa Gwajima na sasa upo kwa mdee huna msimamo, mie sina unafiki nasimama na ukweli maandamano tarehe 2 nyinyi na Polisiccm tarehe 1 mkaanza vitisho mikwara kuwakamata viongozi wa chadema hapo nani muoga? Ukweli mdee ni njaa imempelekea kufanya haya kubali ukatae ingawa umejitoa fahamu lakini Tambua kuwa heshima kwa chadema itasalia pindi tu akina mdee wakifukuzwa tu, kinyume na hapo chadema itadharaulika na kufariki mara moja na kuwa level ya TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 

Kwani KUUSEMEA ukweli wa ASIMAMIACHO Mdee ndio kuhamia kwake??!!

Ninyi kweli washamba wa siasa....

Kwa hiyo kila asemalo Mdee nilipinge tu kwa kuwa Mimi ni CCM?!!

Mkiwafukuza akina MDEE ruzuku MTAKOSA....
Mkiwafukuza akina MDEE mtaikosa SUPPORT YA WANAWAKE....
Mkiwafukuza akina MDEE ndiyo MNAKIZIKA CHAME CHENU "mazima".....
 
Mbona CCM mlimfukuza Membe pasipo kujali kuwa alitumia mabilioni kumhujumu Lowasa sanjari na kuleta Sumu tokea urusi na kumpa Slaa dola milion 2 na nyumba canada, kama CCM hamukuona umuhimu wa Membe iweje mje na utetezi kwa Mdee aliyeendekeza njaa binafsi na kutelekeza masilahi ya chama ,
 
Tundu Lissu yuko nje ya BUNGE na Yuko UGHAIBUNI(fimbo ya mbali...)

Mbowe Yuko nje ya BUNGE....

Mnataka kila mtu AWE NJE YA BUNGE halafu ndio mpambane vyema na CCM ati eeee?!!!

MAWAZO YA HOVYO KABISA YA HAWA AKINA MNYIKA.
 
Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa.

Hata Halima na Ester Bulaya wangeachwa kwenye ile orodha wangesema kama walivyosema walioachwa.

Wabunge wenyewe wa viti maalum wanajiita 'Covid 19' wakiashiria idadi yao
Which means huko waliko wanaumia na kufurahi at the same time! Politics could be the only famous and even infamous career which has no definite definition, if one really thinks about it.
 
Mdee ana ushawishi mkubwa wa KISIASA kuliko mh.Membe ndani ya CCM....

HUO NDIO UKWELI!!!
 
Ajabu ni hii.....

Kwa kuwa HALLIMA MDEE ameamua kuusimamia UKWELI...na kuyakataa MAJINA ya MWENYEKITI...basi leo amekuwa ni MNAFIKI NA MSALITI....
 
Wewe ndiyo mshamba wa siasa njaa za kuendekeza ruzuku haramu za kishetani na kutelekeza msitakabali wa chama, chama kitwzikwa wakisalia hao punje njaa 19 , heshima ikibakia chama kitaimarika wapo wanawake wengi wa shoka wenye Akili timamu siyo wasagaji kama Bulaya na mdee, chadema inayo hazina kubwa ya wanawake hao akina mdee ni punje tu
 
Hii ni AJABU KWELI....

Eti wabunge 19 wafukuzwe na WASIWEPO BUNGENI....

Strategy Kama hiyo ilifanywa na CUF kusususia UCHAGUZI WA MARUDIO na kutomtambua Dr.Shein....je SERIKALI YA SMZ ilisimama?!!!
Je BARAZA LA WAWAKILISHI lilisimama?!!!

CHADEMA tangulizeni BUSARA mnakwenda KUKOSA RUZUKU na KUCHUKIWA NA WANAWAKE wanaotaka MABADILIKO YA KISIASA....
 
Mdee ana ushawishi mkubwa wa KISIASA kuliko mh.Membe ndani ya CCM....

HUO NDIO UKWELI!!!
Kama mlijua mdee ana ushawishi mbona mmempora ubunge kwa njia haramu za kishetani kule kawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…