Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kuna uwezekano mkubwa hawa vijana tusiwaone tena😭😭😭Vijana wa CHADEMA kutoka Kanda ya Kaskazini walijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi nyumbani kwa bibi yake Deusdedith Soka, huko Kibosho. Hafla hiyo pia iliadhimisha siku ya kuzaliwa ya Soka, ikileta furaha na mshikamano kati ya viongozi na wanachama wa chama hicho.
Pia, Soma: Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa pamoja na Soka wa CHADEMA aongea kwa uchungu baada ya mumewe kutekwa. Amtaja Rais Samia!
Mbowe ni janga zaidi ya Samia.CCM ni janga la kitaifa.inaua wtz ili tu Samia wao asikosolewe kuhusu maovu yake