Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Vijana wa CHADEMA kutoka Kanda ya Kaskazini walijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi nyumbani kwa bibi yake Deusdedith Soka, huko Kibosho. Hafla hiyo pia iliadhimisha siku ya kuzaliwa ya Soka, ikileta furaha na mshikamano kati ya viongozi na wanachama wa chama hicho.
Pia, Soma: Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa pamoja na Soka wa CHADEMA aongea kwa uchungu baada ya mumewe kutekwa. Amtaja Rais Samia!
Pia, Soma: Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa pamoja na Soka wa CHADEMA aongea kwa uchungu baada ya mumewe kutekwa. Amtaja Rais Samia!