Bavicha waliingia kwenye 18 za hawa majamaa

Bavicha waliingia kwenye 18 za hawa majamaa

Kuna bakaka baka walikanyaga huo mziki wa KM nadhani hawatasahau mpaka leo....
 
This is a mistake you're trying to made, Police ana mafunzo maalumu ya namna ya kukabiliana na wahalifu wenye silaha na wasio na silaha haya mafunzo P.O hana ndio maana wamejaribu kidogo tu kudili na raia wamewaumiza vibaya sana.

P.O ana mafunzo maalumu ya kumrekebisha tabia mnyoli kwa njia zote Askari polisi hana mafunzo ya kumrekebisha mtu tabia ndio maana huwezi kukuta Polisi anaitwa mzee na muhalifu au mfungwa ila P.O muhalifu yoyote atamuita mzee!
Umeelewa kwanini nimeandika hayo hapo juu..?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelewa kwanini nimeandika hayo hapo juu..?


Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana boss, point yako ni kujaribu kuwalinganisha watu wawili tofauti na wenye majukumu tofauti.

Sasa nani mkali polisi anaenda kuwakamata wakiwa kwenye free zone, wakiwa hawajaumizwa, wakiwa na silaha na magereza anayekuja kuwatunza wakiwa tayari wamelegezwa na polisi, wameisha wanyanganaya silaha na kuwatia pingu.
 
Watu wamekula vifuti mpaka kuvunjwa mkono( ingawa natamani wangevunja mguu) baada ya kwenda kufanya fujo kwenye geti la Magereza.

macson

Ila polepole yeye alivyoenda na msafara wa ma V8 kumchukua Msigwa ile haikua fujo sio,
 
Hujaelewa sasa kwa taarifa yako, mimi ni mtoto wa Askari polisi na Magereza (baba na mama).

Nilikuwa namjibu jamaa kasema magereza ni wababe wa mafunzo kuliko ya ukakamavu na kuthibiti watu wakorofi kuliko polisi.

Ametolea mfano kuwa wanalinda waalifu ndiyo maana nikamwambia kuwa vipi polisi wanaoenda kuwakamata waalifu huko waliko wakiwa na silaha, na namna yeyote ya kuweza kudhulu mtu kirahis uje useme polisi ni wazembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanawake hata wewe wakikuongelea lazima manyigu yakujae kichwani,wana maneno ya shombo hao hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa wameonyeshwa trela kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na mke wa mwanachama wa CCM(katibu tawala wa mkoa) nae akiwa kwny kundi la walionyooshwa na hao ma afande.
 
Watu wamekula vifuti mpaka kuvunjwa mkono( ingawa natamani wangevunja mguu) baada ya kwenda kufanya fujo kwenye geti la Magereza.

macson
Tafuta mkwanja dogoo vinginevyo utaendelea kushangilia sanaa vipigo vya watanzania wenzako kwa chuki binafsi tuu ya kupigika kimaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nomaaaa!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kama kuna mtu anajua kama jeshi la Magereza ni muongoni mwa majeshi yenye mazoezi makali pamoja na kuwa na kikosi maalum (special forces)
 
Sijui kama kuna mtu anajua kama jeshi la Magereza ni muongoni mwa majeshi yenye mazoezi makali pamoja na kuwa na kikosi maalum (special forces)
KMKM. Hao ndiyo FFU wa magereza. Waliowahi kuwa mahabusu na jela au walioishi jirani na magereza ndiyo watawajua ila wananchi wengi hawafahamu kama wapo.
 
Back
Top Bottom