Bavicha waliingia kwenye 18 za hawa majamaa

Bavicha waliingia kwenye 18 za hawa majamaa

Sijui kama kuna mtu anajua kama jeshi la Magereza ni muongoni mwa majeshi yenye mazoezi makali pamoja na kuwa na kikosi maalum (special forces)
Mazoezi yote hayo halafu wanapambana na laymen... What a waste

Jr[emoji769]
 
Makomandoo wanaopigana na raia wa kike wasio na silaha wako Tanzania pekee. Ndo maana wanapigana na matofali ya udongo uwanja wa Taifa mnawashanhilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari
IMG_20200316_065250_415.JPG
IMG_20200316_065235_698.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom