Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Mar 16, 2020 #41 pombe kali said: Sijui kama kuna mtu anajua kama jeshi la Magereza ni muongoni mwa majeshi yenye mazoezi makali pamoja na kuwa na kikosi maalum (special forces) Click to expand... Mazoezi yote hayo halafu wanapambana na laymen... What a waste Jr[emoji769]
pombe kali said: Sijui kama kuna mtu anajua kama jeshi la Magereza ni muongoni mwa majeshi yenye mazoezi makali pamoja na kuwa na kikosi maalum (special forces) Click to expand... Mazoezi yote hayo halafu wanapambana na laymen... What a waste Jr[emoji769]
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Mar 16, 2020 #42 Makomandoo wanaopigana na raia wa kike wasio na silaha wako Tanzania pekee. Ndo maana wanapigana na matofali ya udongo uwanja wa Taifa mnawashanhilia. Sent using Jamii Forums mobile app
Makomandoo wanaopigana na raia wa kike wasio na silaha wako Tanzania pekee. Ndo maana wanapigana na matofali ya udongo uwanja wa Taifa mnawashanhilia. Sent using Jamii Forums mobile app
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Mar 16, 2020 #43 Hassan Mambosasa said: Bora ukawachokoe macho wajeda, kuliko kuwafanyia fujo magereza Click to expand... Very true, Wangeuwauliza Waandishi wa Habari walichofanywa wakati ule Waziri akiwa Omari Mapuri wasingefanya huo ujinga wao. Mpaka sasa wengine wamebaki Walemavu wa kudumu.
Hassan Mambosasa said: Bora ukawachokoe macho wajeda, kuliko kuwafanyia fujo magereza Click to expand... Very true, Wangeuwauliza Waandishi wa Habari walichofanywa wakati ule Waziri akiwa Omari Mapuri wasingefanya huo ujinga wao. Mpaka sasa wengine wamebaki Walemavu wa kudumu.
KOLOKOLONI JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 2,476 Reaction score 2,371 Mar 16, 2020 #44 Hatari Sent using Jamii Forums mobile app