Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Nafasi za madc ni ngapi na vijana wa upinzani ni wangapi waliopata nafasi tuone,kwa list ile ya MaDC na manaibu waziri ilivyojazwa na vijana wa upinzani niwa wazi anayejipendekeza ni huyo mteuaji.
fanya research huko.Nafasi za madc ni ngapi na vijana wa upinzani ni wangapi waliopata nafasi tuone,
Kwanini usilete hapa ili kuwakomesha uvccm jinsi walivyotupwa kwenye teuzi?fanya research huko.
hamnazo kapitia wengi,ila wewe inaonekana alikubaka bila ridhaa yako[emoji23][emoji23].Muandishi mwenyewe ni Chawa mbobezi na ni Mjane alieachwa na Hamnazo
Fisi huwa wanakomeshwa??Kwanini usilete hapa ili kuwakomesha uvccm jinsi walivyotupwa kwenye teuzi?
Amewanyooshaje?Fisi huwa wanakomeshwa??
Hebu kuwa serious aisee, Mama Samia ameshawanyoosha nyie mataga wote.
aisee vipi mbona unanilazimisha kuleta PDF ya wateuliwa wakati unajua pakuipata??Amewanyooshaje?
Hebu weka idadi ya wateuliwa wote hapa kisha tuone waliotoka upinzani ni wangapi na walioteuliwa toka ccm ni wangapi ili tuone jinsi mama alivyowakomesha uvccm,!
Bavicha uwezo wenu wa kuona mambo huwa mnaona mwisho wa zinapoishia nyayo zenu tu
Ni kama unabadilisha gear hewani, kama unamsifu mama hivi?! Kuna meelekeo wa sukumagang kufa?Bavicha wamekuwa wapiga soga wapiga ramli waigizaji wapika majungu wametoka kwenye siasa ziwe za kujenga hoja au za kiunaharakati wamekuwa wapiga majungu ambao wanashindwa kutambua kwamba uimara wa Chama Chao hautokani na madhaifu ya CCM bali unatokana na Sera dhabiti zenye kuunganisha makundi yaliyoonewa lkn sasa wanamwandama yeyote aliye na Mapenzi na CCM...
Kijana sikujui hunijui usinitafutie Banhamnazo kapitia wengi,ila wewe inaonekana alikubaka bila ridhaa yako[emoji23][emoji23].
nawahurumia vijana wa CHADEMA sana yaani wamepauka maisha yao ya kuunga unga wamenyonyolewa na Mbowe kila mara anapokosaa hela ya kumalizia apartments zake anakuja na swaga za michango mama naye amewachomolea kukutana naye wanabaki kulia lia tu ukimwangalia mtu kama Pambalu ana madeni tapeli na gqri yake wameishikilia kwa madeni ya uchaguziKijana sikujui hunijui usinitafutie Ban
Mama amekubali kujenga Reli, amekubali kujenga Meli, analeta maji kila pahala, anajenga stand na masoko, anajenga mradi wa Umeme mto Rufiji, amewateuwa akina Nassari Lijualikali, Msando, Kalist Lazaro kuwa wakuu wa wilaya mama mwenyewe Magufulists kwa nn nimpinge Magufulists mwenzangu Mama Samia mpaka 2030 atake asitakeWe jamaa umeanza kuwa upande wa mama sasa hivi?
Hivi unajua kama kabati la teknolojia limehifadhi utumbo wa thread zako zote za mwanzoni ulizokuwa unatapika kuhusu utawala wa mama?
Hao vijana wa Mbowe wa kuhurumiwaSiku izi hao wanajiona watawala, utasikia kamata huyu weka ndani. Jamani nyie cdm mnaringia utajiri wa jirani leo!