BAVICHA wapewe elimu ya upigaji kura, hii ni aibu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.

===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano

328894773_730487478517208_8473406379011898252_n.jpg

✌️
 
...yaani inamanisha jamaa alipiga kula ila hakuiweka kwenye sanduku la kula. Daaah Nchi hii ni ngumu sana tena sana.
 
Wanachama wa CHADEMA sisi sio wa kutuamini kabisa, hivi unawezaje kurudi na karatasi ya kupigia kula nyumbani, iyo kula itaesabiwa wapi na nani?

Nimesikitika sana tena sana kumbe sisi ni mabwege hivi...WTF.
 
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.

===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano

✌️
Kwani alijifunza nani kusaga Sumu,🤔
 
...yaani inamanisha jamaa alipiga kula ila hakuiweka kwenye sanduku la kula. Daaah Nchi hii ni ngumu sana tena sana.
😂😂😂😂😂Kumbe inawezekana wengi walipiga kura na kurudi nazo makwao... Halafu sisi tunasubiri lissu ashinde kumbe kuna mabwege yameondoka na kura....sasa zingehesabiwaje majumbani kwao?
Ni picha hiyo, siyo og..
Karatasi halisi ya Kura siyo kubwa hivyo!
Kwani wanapokabidhi mfano wa cheki ya pesa kwenye hafla huwa ni cheki halisi?!
Ma CHAWA acheni ushamba🙄
 
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.

===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano

328894773_730487478517208_8473406379011898252_n.jpg

[emoji3577]
Tunawajua vijana wa bavicha ni vichwa maji wakiongozwa na Mmawia
 
Hapo inaonekana karatasi iliyoko kwenye fremu, inawezekana jamaa aliipiga picha karatasi yake ya kura, akaisevu kwenye simu, kisha akaitengenezea fremu akamkabidhi Lissu, lakini karatasi original ya kupigia kura aliipeleka sehemu husiku kuhesabiwa.
 
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.

===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano

328894773_730487478517208_8473406379011898252_n.jpg

✌️
Hili lilofanyika hakika siyo afya kwa uchaguzi,kura yake ilihesabiwa baada ya kupiga na akaichukua hiyo ballot paper au kabla ya kupiga kura alisnap kwanza ndiyo akapiga,kisha akaprint mfano wa kura?. Kimtazamo jambo hili limekaaje kisheria?
 
Daaah kweli ukiitwa mwana ccm ni tusi aiseee. .kweli nyie ni mambulula , hv hata hilo linawatoa jasho ? Ina maana Teknolojia kwenu ni mzigo eeeh??? Uvccm buana [emoji28][emoji28][emoji28] khaaa .. mnatia aibu aisee.. alichokifanya huyo jamaa ni kitu rahisi mnoo , ila Haina haja ya kuwaekewesha mbakie hivyo hivyo na upimbi wenu

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Kwa huu uzi,nimeamini kwa asilimia mia moja kuwa Wana CCM ni vilaza wa kutupwa.

Nimeamini zile zero zinazotokea kwenye matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ndio za hawa wakina MSAGA SUMU na wenzake.
 
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.

===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano

328894773_730487478517208_8473406379011898252_n.jpg

[emoji3577]
Tundu Antipas Lissu should be ashamed of this stupid act.
 
Back
Top Bottom