MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Siasa za kizamani sana tundu ameshapewa zile nauli zake 100mill anazolidai bunge?Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.
View attachment 2504215
Kwani Akili zinafanya kazi sasa...yaani inamanisha jamaa alipiga kula ila hakuiweka kwenye sanduku la kula. Daaah Nchi hii ni ngumu sana tena sana.
Kwani alijifunza nani kusaga Sumu,๐คHalafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.
===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano
Inawezekana aliipiga picha, mimi baada yakupiga kura nikaifotoa...yaani inamanisha jamaa alipiga kula ila hakuiweka kwenye sanduku la kula. Daaah Nchi hii ni ngumu sana tena sana.
...yaani inamanisha jamaa alipiga kula ila hakuiweka kwenye sanduku la kula. Daaah Nchi hii ni ngumu sana tena sana.
Ni picha hiyo, siyo og..๐๐๐๐๐Kumbe inawezekana wengi walipiga kura na kurudi nazo makwao... Halafu sisi tunasubiri lissu ashinde kumbe kuna mabwege yameondoka na kura....sasa zingehesabiwaje majumbani kwao?
Tunawajua vijana wa bavicha ni vichwa maji wakiongozwa na MmawiaHalafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.
===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano
Hili lilofanyika hakika siyo afya kwa uchaguzi,kura yake ilihesabiwa baada ya kupiga na akaichukua hiyo ballot paper au kabla ya kupiga kura alisnap kwanza ndiyo akapiga,kisha akaprint mfano wa kura?. Kimtazamo jambo hili limekaaje kisheria?Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.
===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano
Nami mwaka 2010 na 2015 nilipiga picha.Inawezekana aliipiga picha, mimi baada yakupiga kura nikaifotoa
Tundu Antipas Lissu should be ashamed of this stupid act.Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.
===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano