Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji.
Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la viongozi wa Tanzania ikiwa ni pamoja na Mawaziri na Ma DC inakutana Morogoro , Wengine wako ICU baada ya kuvunjika migongo huko Lumumba
Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la viongozi wa Tanzania ikiwa ni pamoja na Mawaziri na Ma DC inakutana Morogoro , Wengine wako ICU baada ya kuvunjika migongo huko Lumumba