Bavicha yaanza semina Mjini Morogoro

Bavicha yaanza semina Mjini Morogoro

Ukiwaangalia unaona namna walivyojikatia Tamaa na kukosa matumaini ya chochote kile. Wapowapo tu huku wakisikitika namna chama kinavyotafuna pesa na michango ya wanachama kama mchwa.

Paza sauti mpaka mbowe aje hadharani kueleza pesa za join the chain zipo wapi? Zilikusanywa shilingi ngapi? Zimefanya kazi ipi?kwa utaratibu upi?
Umechoka mapema sana kifikra
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji.

Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la viongozi wa Tanzania ikiwa ni pamoja na Mawaziri na Ma DC inakutana Morogoro , Wengine wako ICU baada ya kuvunjika migongo huko Lumumba

View attachment 2795979View attachment 2795980View attachment 2795981View attachment 2795982View attachment 2795984View attachment 2795984
Hiki ndio Chama sasa. Sio wale wazee wa mitulinga
 
Hawa vijana wanajua kupiga Pamba nzuri aisee.

Sasa kutana na wale wa mboga mboga.......waiingia msituni unaweza kudhani umekutana na......chameleoni
 
Hongereni sn
JamiiForums442997317_236x211.jpeg
 
Ukiwaangalia unaona namna walivyojikatia Tamaa na kukosa matumaini ya chochote kile. Wapowapo tu huku wakisikitika namna chama kinavyotafuna pesa na michango ya wanachama kama mchwa.

Paza sauti mpaka mbowe aje hadharani kueleza pesa za join the chain zipo wapi? Zilikusanywa shilingi ngapi? Zimefanya kazi ipi?kwa utaratibu upi?
Hao wanajitambua tofauti na wewe boga unayeshinda humu kusifia watawala ambao hawana time na wewe.
 
Back
Top Bottom