Bavicha yaanza semina Mjini Morogoro

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji.

Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la viongozi wa Tanzania ikiwa ni pamoja na Mawaziri na Ma DC inakutana Morogoro , Wengine wako ICU baada ya kuvunjika migongo huko Lumumba

 
Naona watoa taarifa mnazidi kutoa taarifa😆😆😆
 
Ukiwaangalia unaona namna walivyojikatia Tamaa na kukosa matumaini ya chochote kile. Wapowapo tu huku wakisikitika namna chama kinavyotafuna pesa na michango ya wanachama kama mchwa.

Paza sauti mpaka mbowe aje hadharani kueleza pesa za join the chain zipo wapi? Zilikusanywa shilingi ngapi? Zimefanya kazi ipi?kwa utaratibu upi?
 
Umeishiwa hoja haraka sana ! Imekuwaje ghafla hivi ?
 

Hela za join the chain zilikusanywa kiasi gani na zimetumikaje?
 

Usisahau kuweka namba ya simu na location ya unapopatikana.
 
Mbona kuna sura humo haziashirii kabisa uanachama, hamjascan nani wako serious na kazi?
 
Mikopo inatoka lini kwenye saccos vikoba!
 
Mfungwa wa kisiasa Twaha Mwaipaya akifundisha namna ya kudhibiti wizi wa kura

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…