Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji .
Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji , Bali tunaamini kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu , kila ubaya utalipwa .
Mungu ibariki Bavicha .