Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Set them free, chama kisingekuwa imara msingewabambikia kesi za ajabu.Imarisheni chama kuanzia kwenye mashina hizi cheap politics haziwasaidii
Mkuu cheap politics iko wapi hapo?. Hebu acha mambo ya ajabu. Hongereni vijana. Hata maandiko yanatufundisha kuwatembelea wafungwa.Imarisheni chama kuanzia kwenye mashina hizi cheap politics haziwasaidii
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYEREREImarisheni chama kuanzia kwenye mashina hizi cheap politics haziwasaidii
HakikaVijana wameona mbali,anayekuthamini wakati wa shida ndiye ndugu hasa
Heri wanaowafariji wafungwa.Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji .
Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji , Bali tunaamini kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu , kila ubaya utalipwa .
View attachment 1787285
Mungu ibariki Bavicha .
Kisha Yesu atawambia wale walio mkono wake wa Kulia " Pokeeni ufakme wa Mungu, nalikuwa mfungwa mkaja kuniona, nalikuwa na njaa mkanilisha"Vijana wameona mbali,anayekuthamini wakati wa shida ndiye ndugu hasa
Aiseeee !!Kisha Yesu atawambia wale walio mkono wake wa Kulia " Pokeeni ufakme wa Mungu, nalikuwa mfungwa mkaja kuniona, nalikuwa na njaa mkanilisha"
Mmebarikiwa tangu kuubwa ulimwengu
Toka maktaba:Serikali ya awamu ya sita, kupitia ofisi husika fanyieni kazi kauli ya Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa kesi za mahabusu wa zisizo na kichwa wala miguu au kisiasa zifutwe .
8 May 2021
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAKA TAARIFA NI YA UONGO,HAKUNA WAFUNGWA WA KISIASA TANZANIA
Wajenge walau hata ofisi ya makao makuuImarisheni chama kuanzia kwenye mashina hizi cheap politics haziwasaidii
Huyu naye siku yake inakujaToka maktaba:
8 May 2021
Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na pia ni mkurugenzi toka Ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya rais IKULU ,hapo awali alipata kukanusha kuwepo wafungwa wa kisiasa
Nyerere alivyokuwa anapigania uhuru wa nchi hii alikuwa ana ofisi gani ?Wajenge walau hata ofisi ya makao makuu
Miaka 25 ya uhai chama hakina hata kiwanja!
Mwenyekiti zaidi ya miaka 16 hajafanya chochote kuimarisha infrastructure za chama!
Halafu eti wanataka tuwape nchi; hata kama tumerogwa hampati ng'oo!
Mbona bavicha wenyewe wanaonekana kuogopa?Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji .
Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji , Bali tunaamini kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu , kila ubaya utalipwa .
View attachment 1787285
Mungu ibariki Bavicha .