BAVICHA yaingia nchini Zambia kuwajulia hali wafanyabiashara waliokimbia unyanyasaji Tanzania

BAVICHA yaingia nchini Zambia kuwajulia hali wafanyabiashara waliokimbia unyanyasaji Tanzania

Wafanya biashara wakwetu wamekimbia ugandamizaji,mfano ulioutoa unawahusu wale walioenda kwa hiari na mapenzi yao,acha kuchanganya mambo!
Mtoto aking’ang’ania nyumbani unamtimua akalete hela. Tunahitaji wafanyabiashara wafanye nje ya nchi ili walete pesa za kigeni. Siyo kwenda kuzoa madawa ya kulevya na kuharibu vijana wetu. Wewe haya mambo yanakuzidi siyo kosa lako
 
Huwezi kuwapata kwa wingi sasa hivi ..hakuna wa kuwafadhili tena
Mungu wao aliwazoeza kuwa sponsoring..
IMG_20210409_174809.jpg
 
Msio ijua zambia ata gari unaendesha bila plate number ndo.maana nchi ya ovyo sana yani boda tu lami amna mpka ufike mbele mbele.utazani nchi aina kiongozi border panapo ingiza mapato lami amna.
 
Zambia mnapopaongelea ni kule ambapo wachina ni watawala rasmi au zambia ipi hio
 
Mtoto aking’ang’ania nyumbani unamtimua akalete hela. Tunahitaji wafanyabiashara wafanye nje ya nchi ili walete pesa za kigeni. Siyo kwenda kuzoa madawa ya kulevya na kuharibu vijana wetu. Wewe haya mambo yanakuzidi siyo kosa lako
Kama hutumii kilevi chochote nakushauri usitumie,kama hujalewa uelewa wako ndio huo,ukilewa itakuaje?
Namkumbuka mtaalamu mmoja wa mirembe aliwahi kusema,"kuna watu wengi sana wanaonekana ni wazima lakini kwenye vipimo wataonekana na matatizo ya aikili".
 
Propaganda za kipuuzi hizo, kama hujui watanzania wanaofanya kazi Zambia hasa za kibiashara ni wengi na wapo kuanzia miaka ya 70s to date.
Wengine ndugu zetu wa damu waliamua kuishi na kufanya biashara Zambia kitambo Sana. Dada yangu wa kwanza yupo zambia toka 1992 nae kakimbia kodi?
Bavicha wakae wajenge chama, wakae na akina Halima Mdee wawafundishe siasa. Mwenyekiti Mbowe ajiuzulu, haiwezekani mpaka afie madaraka.. aache udikteta na ubabe aruhusu demokrasia.

Nikimnukuu sumaye aliambiwa hivi na Mbowe "sumu haionjwi" kosa la sumaye ni kutaka kugombea uwenyekiti, hyo ni demokrasia?
 
Haijulikani kama unalia au unagugumia , bali taarifa ya Wafanyabiashara kutimkia Zambia ililetwa na Serikali ya Tanzania kupitia kwa RC wa Songwe , ambapo alishika kipaza sauti kile wanachouzia dawa za mende na sumu za panya akiwa ng'ambo ya Tanzania akiwaomba wafanyabiashara wale warudi Tanzania

Nyuzi ziko humuhumu jf
 
Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta hifadhi ya kibiashara nchini humo baada ya kukimbia manyanyaso nchini mwao.

Bavicha imeongea na wafanyabiashara hao katika nchi jirani ambao wamekiri kupokelewa vema nchini Zambia na kwamba kodi wanayolipa katika nchi ya watu ni Rafiki mno na kwamba wanaimudu bila shaka na wanapata faida.

Wengi wao wameapa kutorudi tena kufanya biashara nchini Tanzania.

Juhudi za kuwabembeleza bado zinaendelea.
Rudini bongo 2025 bado hali sio
 
Back
Top Bottom