BAVICHA yaingia nchini Zambia kuwajulia hali wafanyabiashara waliokimbia unyanyasaji Tanzania

BAVICHA yaingia nchini Zambia kuwajulia hali wafanyabiashara waliokimbia unyanyasaji Tanzania

Kama hutumii kilevi chochote nakushauri usitumie,kama hujalewa uelewa wako ndio huo,ukilewa itakuaje?
Namkumbuka mtaalamu mmoja wa mirembe aliwahi kusema,"kuna watu wengi sana wanaonekana ni wazima lakini kwenye vipimo wataonekana na matatizo ya aikili".
Kumbe unajielewa kuwa wewe ni mteja wa Mirembe! Pole sana
 
Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta hifadhi ya kibiashara nchini humo baada ya kukimbia manyanyaso nchini mwao.

Bavicha imeongea na wafanyabiashara hao katika nchi jirani ambao wamekiri kupokelewa vema nchini Zambia na kwamba kodi wanayolipa katika nchi ya watu ni Rafiki mno na kwamba wanaimudu bila shaka na wanapata faida.

Wengi wao wameapa kutorudi tena kufanya biashara nchini Tanzania.

Juhudi za kuwabembeleza bado zinaendelea.
Ahahahahahahahahah!!!! BAVICHA ambaye Mwenyekiti wa chama chao kitaifa alifungiwa "AKAUNTI ZOTE" benki ikabidi aamishie biashara zake Afrika Kusini na Dubai! Sijui alimaanisha nini kuhusu "AKAUNTI ZOTE"! Ahahahahahahahahah!!!!!!!!
 
Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta hifadhi ya kibiashara nchini humo baada ya kukimbia manyanyaso nchini mwao.

Bavicha imeongea na wafanyabiashara hao katika nchi jirani ambao wamekiri kupokelewa vema nchini Zambia na kwamba kodi wanayolipa katika nchi ya watu ni Rafiki mno na kwamba wanaimudu bila shaka na wanapata faida.

Wengi wao wameapa kutorudi tena kufanya biashara nchini Tanzania.

Juhudi za kuwabembeleza bado zinaendelea.
Bavicha na kyadema wao ni watu wa matukio aisee eti wameenda kuwatembelea hapo mpaka wa Tunduma wapo wafanyabiashara wengi ambao ama wanatoka Nakonde wanafanya biashara Tunduma ama wa Tunduma wanafanya biashara zao Nakonde na hata ukienda upande wa Zambia utakuta bidhaa zinazouzwa ni za Tanzania pia hata mipaka ya hapo mpakani haijulikani utakuta hadi nyumba zimeingiliana ,sasa sababu za kutmalizia bando kwa habari za kizushi zitatusaidia nini wakati hao wafanyabiashara wapo hapo mika mingi,ungesema wameenda labda Kalemie au Rwanda labda ningekuamini lakini hapo Tunduma hizo ni porojo,biahsra zinafanywa pande zote mbili,mwishowe tutasema Bavicha wameenda kuwatembelea wafanyabiashara waliokimbia hapo Namanga upande wa Kenya au wa Silali wakati wanaingiliana miaka mingi. Sasa mko huru sio basi tembezeni sera tuwasikie sababu mlipata sababu ya kubinywa demokrasia wakati wa jabali lilipokuwa hai, sasa hamna la kusema ni blabla tu mara sijui nimechomwa chanjo nje mara oh TRA walinionea hizo ndio sera zenu kwa sasa.
 
Njoo Tunduma hapo uone truck la pombe linalipa kiasi gani likiwa limeshachajiwa TBS milion saba na laki tatu mkishiba ugali pili pili kichaa mnaongea chochote harafu uone ni wazungu wanalipa hiyo pesa...huku VAT uliyolipia SA unairudisha ukifikisha mzigo Tanzania

Kila siku nasema unapoandika angalia unamjibu nani wengine hata tin number hawana, VAT haelewi ni nini wewe unakomaa kumwelewesha kodi ya trucks za pombe kutoka south wakati hata kodi ya Apple tunda Tanzania iko juu mara nne kuliko Angola
 
Kwa hiyo wafanya biashara ndio hao wanne waliopiga picha hapo!!??
njoo na track nyingine hii mbovu
Nyie ng'ombe ndio mnasababisha watanzania wote waitwe ng'ombe, akili zako za king'ombe ng'ombe, sasa umeandika madudu gani haya,mbona hueleweki?
 
Mmevuka tu mpaka na kupiga picha mnadai mmeenda kuongea na wafanyabiashara.
 
Kwa nini TRA wasifunze huko? Tatizo lao kodi zinazokusanywa wanajilipa wao kwanza mishaara mikubwa mno.
 
Kila siku nasema unapoandika angalia unamjibu nani wengine hata tin number hawana, VAT haelewi ni nini wewe unakomaa kumwelewesha kodi ya trucks za pombe kutoka south wakati hata kodi ya Apple tunda Tanzania iko juu mara nne kuliko Angola
Daah kweli Mkuu si ndio hawa muda mwingine wanakuja na hoja eti wanalipa Kodi kubwa wafanyakazi kuliko wafanyabiashara hizo nyuzi huwa naziangalia tuu...yaani mshahara wa tgs D unasema unalipa kodi kubwa kuzidi kontena moja linaloingia kila mwezi Tanzania...
 
Hakuna mtu mweusi ambae anataka kulipa kodi hata siku moja na mama akileta utani kwenye kukusanya kodi ajue kuna siku atashindwa kulipa watu mishahara
Wamekuwa wakilipa kodi tangu enzi za mkapa na imekuwa ikipanda kila awamu. Una matatizo na sisi watu weusi?
 
Kwanini TRA isitume task force iende kuwakamata na kuwabambikia utakatishaji wa Kwacha
 
Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta hifadhi ya kibiashara nchini humo baada ya kukimbia manyanyaso nchini mwao.

Bavicha imeongea na wafanyabiashara hao katika nchi jirani ambao wamekiri kupokelewa vema nchini Zambia na kwamba kodi wanayolipa katika nchi ya watu ni Rafiki mno na kwamba wanaimudu bila shaka na wanapata faida.

Wengi wao wameapa kutorudi tena kufanya biashara nchini Tanzania.

Juhudi za kuwabembeleza bado zinaendelea.
Chadema ndio tumaini kwa siasa za tanzania.
 
Back
Top Bottom