BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.

Screenshot_2024-04-09-20-12-48-1.png

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi , ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea .

View attachment 2958961

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa .

Usiondoke JF
Namwona bwana mdogo comrade mzalendo wa kweli kwa taifa lake John Justin Pambalu mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA na ndugu mwaipaya..

All in all Nyc work
 
Wameenda na msaada wowote? Japo hata paracetamol?
Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
 
Back
Top Bottom