BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

Bavicha haina ubishoo Tayari andiko la Kitaalam kukabiliana na hili janga lipo Engine room...Bavicha imejaa wasomi wapo sehemu mbali mbali vitengo nyeti Kulitumilkia Taifa
We piga miayo tu huko uswekeni chama kiko Mjini
Umeandika ukweli mzito !
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
Wamechooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooka !
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
Ni vyema ndugu na jamaa wanapopata madhira kuwafriji.
 
Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
ni mapanya sio 🐒
 
.Toeni Msaada kwa kodi zetu kwa maafa Rufiji muache kulalamika.

Kodi zao kila mwaka mnakula kwenye majanga mnakimbia.
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
Waathirika wa kule Hanang mliwasaidia nini?
 
Back
Top Bottom