BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

Siyo lazima uwe na kitu ndio umfariji mtu.

Hata kumtamkia neno la uzima tu inatosha.
Mzee em acha utani, yn mtu ana shida ya chakula, malazi halafu ww unaenda na pole zako sasa itamsaidia n.?
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.


Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
Hao ni bavicha au ni wavuta bangi wameokotwa kijiwen
 
Wazee wa matukio wangekosa hawa misso misondo ningeshagaa angalizo wasipewe michango!

Kama kuna mambo yanatokea halafu hufanyi chochote, basi wewe huna akilo. Kwa wenye akili tukio hufuatiwa na tathmini, na kisha action.
 
Bavicha ilikua enzi za kina mnyika hawa wa sasa ni Uvccm waliovaa koti la bavicha.
 
Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
Wewe hanang' unaijua au!?,punguza hizo
 
Back
Top Bottom