BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapok
suala la pesa mbele yao
Shemeji usihofu mdogo wangu Makonda atakuoa. Ila punguza makeke ya kilugaluga
 
Kwa kweli BAVICHA mambo yao ni ovyo sana, jamaa wapo kimatukio tu hawana tofauti na UVCCM
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
Zote hizo ni kampeni... Bavicha wenyewe wanaonekana ni njaa kali tu
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
Selfie na majogambo ya kisiasa yanasaidia nini wananchi.Hapa wangepeleka misaada basi mengoneyo hayasaidii niunafiki tu wakisiasa
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
Yani hawa vijana wawili Mwenyekiti na mwenezi ndio Bavicha yenyewe so sad vijana wengine wamebakia mitamdaoni tu ku like nanku comment harakati Ila hawa wanasfahili sifa
 
Hawa tumewatuma
 
Back
Top Bottom