Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
UVCCM bado wanamkaribisha Jokate na Marafiki zake akina shiloleWazee wa matukio wangekosa hawa misso misondo ningeshagaa angalizo wasipewe michango!
Tathmini ya mafuriko hata babu yako ngumbaru kule kijijini anaweza kufanyaHapo kuna hata aliyemaliza kidato cha nne?
Usiondoke Jf Kwa taarifa zaidiWameenda na msaada wowote? Japo hata paracetamol?
Mbona washapita kitambo huko UVCCM ni taasisi kubwa!UVCCM bado wanamkar4ibisha Jokate na Marafiki zake akina shilole
Wote ni Graduate , mmoja ni mwl wa chuo kikuuHapo kuna hata aliyemaliza kidato cha nne?
Tanzania ni moja na si mali ya ccmKimbelembele cha mwajuma, hicho, kukeshea ngoma isiyokuhusu.
Kwa matumbo mnaongozaMbona washapita kitambo huko UVCCM ni taasisi kubwa!
Pesa za join the chain wamekula uvccm!Kwa matumbo mnaongoza
Konda?Hapo kuna hata aliyemaliza kidato cha nne?
Namwona bwana mdogo comrade mzalendo wa kweli kwa taifa lake John Justin Pambalu mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA na ndugu mwaipaya..Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi , ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea .
View attachment 2958961
Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa .
Usiondoke JF
Siasa zote ni matukio, hakuna siasa bila matukio.Wazee wa matukio wangekosa hawa misso misondo ningeshagaa angalizo wasipewe michango!
Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yaoWameenda na msaada wowote? Japo hata paracetamol?