BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

Mm kama am 4 real Sina mrengo wowote wa kisiasa
Napendekeza hao WANAWAKE wa chadema wakiandamana kamanda wambura awakamate na watandikwe bakora 12 matakoni......

Nasema ivyo kwasabb Kuna mambo mengi ya msingi kuishinikiza serikali yetu kuchukua maamuzi kuliko hili la COVID 19 bungeni...Bora wangekua wanashinikiza serikali kuingilia kati mfumuko wa bei......hata hili nalo mama analifanyia kazi...

binafsi siitaji maandamano maana ni kichaka Cha machafuko na uovu am 4 real sioni tija ya maandamano haya naomba Mh.mbowe awape amri hao wa mama wa CHADEMA wakae Kwa kutulia....

Quote from Mr. No Limit 🤬 CIG anatoa report za wakubwa.....Sio report za wizi wa box 3 za chaki.....
 
Kama Jambo lipo mahakamani...wanaandamana ili iweje?..
Yaani bado hawajaamka kwenye Kuota kuwa watapewa wao hivyo viti?

Hilda Newton aanze kuamka sasa hataingia bungeni Hadi baada ya uchaguzi wa 2025 hapo ni kama Mbowe na Halima hawajaelewana tena
 
KWa
Mm kama am 4 real Sina mrengo wowote wa kisiasa
Napendekeza hao WANAWAKE wa chadema wakiandamana kamanda wambura awakamate na watandikwe bakora 12 matakoni......

Nasema ivyo kwasabb Kuna mambo mengi ya msingi kuishinikiza serikali yetu kuchukua maamuzi kuliko hili la COVID 19 bungeni...Bora wangekua wanashinikiza serikali kuingilia kati mfumuko wa bei......hata hili nalo mama analifanyia kazi...

binafsi siitaji maandamano maana ni kichaka Cha machafuko na uovu am 4 real sioni tija ya maandamano haya naomba Mh.mbowe awape amri hao wa mama wa CHADEMA wakae Kwa kutulia....

Quote from Mr. No Limit 🤬 CIG anatoa report za wakubwa.....Sio report za wizi wa box 3 za chaki.....
Kwa Nini Hilo lingine usifanye wewe?acha uoga ndugu.
 
Naunga mkono hoja waandamane sana tu ni haki yao kikatiba.
Tusifunge watu midomo na miguu yao.
Suala la Hawa COVID 19 ni suala la sheria na katiba lakini Spika wa bunge na serikali wamelifanya la kisiasa!
Kuna precedent ya wabunge waliofukuzwa kwenye vyama vyao na hatua zilizochukuliwa. Why should these covid 19 ladies be treated differently?
 
Nasema ivyo kwasabb Kuna mambo mengi ya msingi kuishinikiza serikali yetu kuchukua maamuzi kuliko hili la COVID 19 bungeni...Bora wangekua wanashinikiza serikali kuingilia kati mfumuko wa bei......hata hili nalo mama analifanyia kazi...
Ni mpumbavu tu ndiye anaweza kupuuza suala la covid-19. Wako bungeni kwa njia haramu na wao ni haramu. Nonsense!
 
Wakiwa Bungeni na wakitoka Bungeni kilo ya Unga na sukari zitapungua bei....
Najaribu kuwaza pia Kwenye mijada tuepukane na lugha za kuumiza na mmaudhi..🤓
 
Suala la Hawa COVID 19 ni suala la sheria na katiba lakini Spika wa bunge na serikali wamelifanya la kisiasa!
Kuna precedent ya wabunge waliofukuzwa kwenye vyama vyao na hatua zilizochukuliwa. Why should these covid 19 ladies be treated differently?
Hoja kuu ni uchaguzi ule wa kumba kumba 2020,
CCM na magufuli walishinda either Kwa wizi au halali...
Kiasi kwamba bunge likawa la One party
Kuokoa jahazi NDIO muvi ya hao COVID-19 ilipo hasisiwa.....

Ili kuonyesha kua Kuna true democracy in Tanzania NDIO maana wanakingiwa kifua Ili nchi wahisani waone Kuna multipartsm in Tanzania..
 
Back
Top Bottom