BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

ceer.jpg
 
Tumeanza tena kuandamana.
Tumegeuza siasa 24/7 job na kuifanya population kubwa katika nchi kufanya siasa pamoja na kushabikia mpira huku sehemu ndogo ikifanya production.

Hakuna atakayetuletea maendeleo katika nchi hii kama si sisi wenyewe kuamka na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kukemea kila ujinga huku tukiachana na siasa za CDM na CCM
 
Wivu gani wakati sheria imevunjwa kwenye chombo cha kutunga sheria.
Wapo wanaodai wanachadema wamenunuliwa, Je, kwa mlolongo huo tunaweza sema sahihi(signature) imenunuliwa?

Bwana Tundu anataka kuona watu wakitubu, Je vinara wahusika wa CHADEMA wapo tayari kutubu? na Kutuambia wao walihuskia vipi?

.... vinginevyo waende mahakamani!
 
Wapo wanaodai wanachadema wamenunuliwa, Je, kwa mlolongo huo tunaweza sema sahihi(signature) imenunuliwa?
Katibu mkuu wa CHADEMA alishaliweka bayana swala hilo kuwa ni forgery na kamuandikia Spika wa Bunge la CCM hizi siasa mnazobwabwaja humu ni za kitoto sana.
 
Wako sahihi maana haiwezekani mtu yuko gerezani (mahabusu)Nusrat Hanje ana kesi ya kujibu lakini anachukuliwa na kuapishwa kuwa Mbunge bila ruhusa ya Mahakama huu ni uvunjwaji wa wazi wa sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom