BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

emoji28.png

Ulipotelea wapi??
Uwe unapita Mara mojamoja unanipa hi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo yalinishika kidogo ila am through now, ntakuwa napita kukujulia hali
[emoji28]
Ulipotelea wapi??
Uwe unapita Mara mojamoja unanipa hi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 4.

Ni wakati sasa tujitafakari wabunge hawa wasio na chama wamo bungeni na wanalipwa mshahara na posho kwa pesa za umma.

Muda ni mwalimu mzuri hatimaye tumejua kumbe ugumu umeongezeka kwa sababu ni wake za viongozi wa Chadema.

Sasa ni wakati wa Mnyika kuja tena kusema kweli ile saini haikuwa yake kweli na hawa wabunge ni wako kule kinyume na sheria na yeye hahusiki hasa chama kinavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom