Miaka 4.
Ni wakati sasa tujitafakari wabunge hawa wasio na chama wamo bungeni na wanalipwa mshahara na posho kwa pesa za umma.
Muda ni mwalimu mzuri hatimaye tumejua kumbe ugumu umeongezeka kwa sababu ni wake za viongozi wa Chadema.
Sasa ni wakati wa Mnyika kuja tena kusema kweli ile saini haikuwa yake kweli na hawa wabunge ni wako kule kinyume na sheria na yeye hahusiki hasa chama kinavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu.