Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Barua ya kuwateua - CHADEMA wanadai ni forged, Bunge (na NEC) hawaamini hilo. Wao wanasema ni politiking tu wanafanya CHADEMA ili kuwahadaa wanachama wao.Lilikuwa ni jibu sahihi kwa mtazamo wangu.
Barua ya kuwateuwa kama ilithibitika wameforge, basi adhabu ya kuwafukuza ilikuwa sahihi kuliko kwenda mahakamani. Ni adhabu ambayo kisheria iliwavua vyeo vyao vyote ikiwepo na huo ubunge.
Kwenda Mahakamani ndio solution. Hatimaye BAWACHA wamelitambua hilo. Waungwe mkono.