Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Barua ya kuwateua - CHADEMA wanadai ni forged, Bunge (na NEC) hawaamini hilo. Wao wanasema ni politiking tu wanafanya CHADEMA ili kuwahadaa wanachama wao.Lilikuwa ni jibu sahihi kwa mtazamo wangu.
Barua ya kuwateuwa kama ilithibitika wameforge, basi adhabu ya kuwafukuza ilikuwa sahihi kuliko kwenda mahakamani. Ni adhabu ambayo kisheria iliwavua vyeo vyao vyote ikiwepo na huo ubunge.
MiBaraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumamosi Aprili 24, 2021 mweka hazina wa Bawacha, Catherine Ruge amesema watachukua hatua hiyo iwapo wabunge hao wataendelea kuwepo bungeni na kwamba wapo tayari kuuthibitishia umma kuwa walifukuzwa Chadema.
Amesema wanamtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kujitokeza hadharani kuwaeleza Watanzania kama kweli ofisi ya Bunge haikupokea uthibitisho wa Chadema wabunge hao kufukuzwa uanachama.
"Hatutaendelea kuona katiba inaendelea kuvunjwa kwani ofisi ya Bunge inafahamu kwamba wabunge hao wamepoteza sifa za kuwa wabunge."
"Ni jambo la dharau kuona chama kinasema kimewavua ubunge wanachama wao eti naibu spika anakataa na kusema hana taarifa..., na si kweli kama Bunge halina taarifa ya kuvuliwa uanachama hao wanaoitwa wabunge wa Chadema hii ni dharau kubwa," amesema Catherine.
Mimi nadhani pia Ofisi ya Bunge ina kesi ya kuijibu Kwa Matumizi mabaya ya Fedha za ummaBaraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumamosi Aprili 24, 2021 mweka hazina wa Bawacha, Catherine Ruge amesema watachukua hatua hiyo iwapo wabunge hao wataendelea kuwepo bungeni na kwamba wapo tayari kuuthibitishia umma kuwa walifukuzwa Chadema.
Amesema wanamtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kujitokeza hadharani kuwaeleza Watanzania kama kweli ofisi ya Bunge haikupokea uthibitisho wa Chadema wabunge hao kufukuzwa uanachama.
"Hatutaendelea kuona katiba inaendelea kuvunjwa kwani ofisi ya Bunge inafahamu kwamba wabunge hao wamepoteza sifa za kuwa wabunge."
"Ni jambo la dharau kuona chama kinasema kimewavua ubunge wanachama wao eti naibu spika anakataa na kusema hana taarifa..., na si kweli kama Bunge halina taarifa ya kuvuliwa uanachama hao wanaoitwa wabunge wa Chadema hii ni dharau kubwa," amesema Catherine.
Mkuu kufukuzwa tu tayari kunawaondolea sifa ya kukaa Bungeni, na issue ya kukata rufaa ni kitu kingine.Confused somehow, hao wanawake walishafukuzwa lakini Chadema nao kuna mambo siwaelewi, uchaguzi wa Bawacha kujaza hizo nafasi zao utafanyika lini? zile rufaa za hao wanawake nazo zitasikilizwa lini?
Hao wanawake sasa hivi wamebakiwa na defence moja tu ya tumekata rufaa, na hii defence japo ni potofu ndio inayotumiwa mpaka na speaker kule bungeni, sijui kwanini Chadema hawataki kuumaliza huu mchezo.
Hakika.Mi
Mimi nadhani pia Ofisi ya Bunge ina kesi ya kuijibu Kwa Matumizi mabaya ya Fedha za umma
Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumamosi Aprili 24, 2021 mweka hazina wa Bawacha, Catherine Ruge amesema watachukua hatua hiyo iwapo wabunge hao wataendelea kuwepo bungeni na kwamba wapo tayari kuuthibitishia umma kuwa walifukuzwa Chadema.
Amesema wanamtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kujitokeza hadharani kuwaeleza Watanzania kama kweli ofisi ya Bunge haikupokea uthibitisho wa Chadema wabunge hao kufukuzwa uanachama.
"Hatutaendelea kuona katiba inaendelea kuvunjwa kwani ofisi ya Bunge inafahamu kwamba wabunge hao wamepoteza sifa za kuwa wabunge."
"Ni jambo la dharau kuona chama kinasema kimewavua ubunge wanachama wao eti naibu spika anakataa na kusema hana taarifa..., na si kweli kama Bunge halina taarifa ya kuvuliwa uanachama hao wanaoitwa wabunge wa Chadema hii ni dharau kubwa," amesema Catherine.
Mkuu tambua kuwa huo sio uchaguzi bali CCM inakwenda kumpa rasmi Mh. Mama Samia UWENYEKITI kama ilivyozoeleka maana uchaguzi ni process (kutangaza nafasi, kuchukua na kujaza fomu, kushindanisha wagombe n.k) Hivyo ni tofauti na CHADEMACcm watafanya uchaguzi mwezi huu mwishoni na nafasi ni ya Mama Samia. ila kwa bawacha wameitisha uchaguzi tatizo nafasi ya mwenyekiti wameweka kaimu mwenyekiti sio mwenyekiti kamili
Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumamosi Aprili 24, 2021 mweka hazina wa Bawacha, Catherine Ruge amesema watachukua hatua hiyo iwapo wabunge hao wataendelea kuwepo bungeni na kwamba wapo tayari kuuthibitishia umma kuwa walifukuzwa Chadema.
Amesema wanamtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kujitokeza hadharani kuwaeleza Watanzania kama kweli ofisi ya Bunge haikupokea uthibitisho wa Chadema wabunge hao kufukuzwa uanachama.
"Hatutaendelea kuona katiba inaendelea kuvunjwa kwani ofisi ya Bunge inafahamu kwamba wabunge hao wamepoteza sifa za kuwa wabunge."
"Ni jambo la dharau kuona chama kinasema kimewavua ubunge wanachama wao eti naibu spika anakataa na kusema hana taarifa..., na si kweli kama Bunge halina taarifa ya kuvuliwa uanachama hao wanaoitwa wabunge wa Chadema hii ni dharau kubwa," amesema Catherine.
Mkuu tambua kuwa huo sio uchaguzi bali CCM inakwenda kumpa rasmi Mh. Mama Samia UWENYEKITI kama ilivyozoeleka maana uchaguzi ni process (kutangaza nafasi, kuchukua na kujaza fomu, kushindanisha wagombe n.k) Hivyo ni tofauti na CHADEMA
KimeumanaaaKimenuka !
Mimi kuna kitu sielewi. Siku ile Spike alisoma barua ya Mwenyrkit8 wa Uchaguzi ikiwa na majina yao wakaapa, whatsziss?Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumamosi Aprili 24, 2021 mweka hazina wa Bawacha, Catherine Ruge amesema watachukua hatua hiyo iwapo wabunge hao wataendelea kuwepo bungeni na kwamba wapo tayari kuuthibitishia umma kuwa walifukuzwa Chadema.
Amesema wanamtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kujitokeza hadharani kuwaeleza Watanzania kama kweli ofisi ya Bunge haikupokea uthibitisho wa Chadema wabunge hao kufukuzwa uanachama.
"Hatutaendelea kuona katiba inaendelea kuvunjwa kwani ofisi ya Bunge inafahamu kwamba wabunge hao wamepoteza sifa za kuwa wabunge."
"Ni jambo la dharau kuona chama kinasema kimewavua ubunge wanachama wao eti naibu spika anakataa na kusema hana taarifa..., na si kweli kama Bunge halina taarifa ya kuvuliwa uanachama hao wanaoitwa wabunge wa Chadema hii ni dharau kubwa," amesema Catherine.
Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumamosi Aprili 24, 2021 mweka hazina wa Bawacha, Catherine Ruge amesema watachukua hatua hiyo iwapo wabunge hao wataendelea kuwepo bungeni na kwamba wapo tayari kuuthibitishia umma kuwa walifukuzwa Chadema.
Amesema wanamtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kujitokeza hadharani kuwaeleza Watanzania kama kweli ofisi ya Bunge haikupokea uthibitisho wa Chadema wabunge hao kufukuzwa uanachama.
"Hatutaendelea kuona katiba inaendelea kuvunjwa kwani ofisi ya Bunge inafahamu kwamba wabunge hao wamepoteza sifa za kuwa wabunge."
"Ni jambo la dharau kuona chama kinasema kimewavua ubunge wanachama wao eti naibu spika anakataa na kusema hana taarifa..., na si kweli kama Bunge halina taarifa ya kuvuliwa uanachama hao wanaoitwa wabunge wa Chadema hii ni dharau kubwa," amesema Catherine.
Nafikiri wa kupelekwa mahakamani ni Mkurugenzi wa NEC, spika, na naibu spika, waliowapatia akina halima ubunge huku wakijua kuwa si wanachama wa chadema.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Hao wote wana kinga ya kushtakiwaNafikiri wa kupelekwa mahakamani ni Mkurugenzi wa NEC, spika, na naibu spika, waliowapatia akina halima ubunge huku wakijua kuwa si wanachama wa chadema.