BAWACHA: Spika Ndugai kuita barua rasmi kipeperushi ni kiburi cha madaraka. Amekuwa Mtetezi wa wanawake kuanzia lini?

BAWACHA: Spika Ndugai kuita barua rasmi kipeperushi ni kiburi cha madaraka. Amekuwa Mtetezi wa wanawake kuanzia lini?

Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu

Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19....
Mbona yeye Ndugai hamwachii Tulia ajibu hoja za wanawake wenzie?

Anamdharau?
 
HIVI MNACHOHANGAIKIA NA HAO WANAWAKE NI NINI? SIMMEWAFUKUZA BADO MNATAKA NINI?

HUWEZI KUMLAZIMISHA SPIKA AFANYE UNAVYOTAKA WEWE ILE NI OFISI YAKE ANATAKA VIAMBATANISHO WEWE UNAMLETEA MAMBO YA KINA SOPHIA SIMA MTAKAA HAPO MTAPIGA KELELE MPAKA 2025 MBWA NYIE
WE MWANAMKE MBWA MWENZAO?
 
Huyo supika ni muhhuni.Mungu Baba yupo kiburi cha madaraka kina mwisho.
 
Huyu Ndugai inatakiwa aje tu aburuzwe mahakamani kwa kula njama kutaka kumuua mbunge mwenzake kwanza hiyo kinga anayojidai nayo ni feki haipo kwenye katiba.

Na kama leo ndio anajifanya anawapenda mno hao wanawake si wawachukue huko ccm. Very hopeless speaker.
 
Bawacha na bavicha kwa ujumla wenu mlishindwa kutoa tamko mwaka 2015, wakati mwenyekiti alipopachika "mamluki" ndan ya chama kugombea uraisi na ubunge bila kufuata sheria wala kanuni za chama. Leo hii ndo mnajifanya kuonea dagaa huku papa akiendelea kucheza na akili zenu.
Ndio maana Sasa wamekomaa na wanacheza na papa na nyangumi kwa ujasiri kabisa.
 
Ndio maana Sasa wamekomaa na wanacheza na papa na nyangumi kwa ujasiri kabisa.
Papa yupo mkuu. Juzi kati alikuwa Dubai kutafuna hela ya chama, huku ofisi kuu ya chama haijalipiwa hela ya pango. Yote yanajulikana lkn ni nani wa kumfunga paka kengele!?
 
Ndungai ni mgonjwa me nawahangaa mnaomshangaa

The man is sick
The man is not sick. Ana akili timamu kabisa. Kitu ambacho wengi wetu tunashindwa kuelewa ni kwamba Ndugai hatetei hao COVID-19, bali anatetea LIGASI.

COVID-19 ni mojawapo ya LIGASI kuu za Chuma, Shujaa wa Afrika ambazo watetezi wamejiapiza watazitetea mpaka silaha ya mwisho iliyoko mikononi mwao! Kwa hivyo, ni mpambano mgumu.
 
Jana nilimwona na kumsikia Mhe. Spika Live akizungumzia hatma ya Wabunge 19 wa CHADEMA wanaotakiwa kufukuzwa Bungeni. Binafsi ninatofautiana na Mhe. Spika kuhusiana na hawa Wabunge.

Kisheria hawapaswi kuwa Bungeni kwa sababu zifuatazo:- (1) Njia waliotumia kuingia Bungeni siyo halali na uthibitisho tayari umetolewa na Chama chao. (2) Sheria, taratibu na Kanuni zimeelezwa wazi kwa Mbunge yeyote kuingia Bungeni. Lazima ateuliwe na Chama chake.

Uthibitisho ni kuwa HAWAKUTEULIWA na Chama chao. (3) Mifano hai imetolewa kwa Wabunge waliokwishafukuzwa Mfano aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT- Taifa na Wabunge wa CUF hapakuwepo na sababu kama hizi anazotoa Mhe. Spika. Mmoja wa Spika mstaafu alikwisha shauri kuwa Mbunge akifukuzwa na Chama chake basi anakoma kuwa Mbunge.

Mimi naona Mhe. Nape alikuwa sahihi katika kushauri juu ya suala hili na namshauri Mhe. Nape usiwe mwoga wewe endelea kushauri na wewe ni Mbunge wa kuchaguliwa. Hili suala litazidi kumtesa sana Mhe. Spika kama hawa Wabunge hawatafukuzwa Bungeni.
 
Kinachonikera ni wanavozitafuna kodi zetu wakati hawastahili....mamaeeehh!!!
 
Back
Top Bottom