Mbona yeye Ndugai hamwachii Tulia ajibu hoja za wanawake wenzie?Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu
Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19....
WE MWANAMKE MBWA MWENZAO?HIVI MNACHOHANGAIKIA NA HAO WANAWAKE NI NINI? SIMMEWAFUKUZA BADO MNATAKA NINI?
HUWEZI KUMLAZIMISHA SPIKA AFANYE UNAVYOTAKA WEWE ILE NI OFISI YAKE ANATAKA VIAMBATANISHO WEWE UNAMLETEA MAMBO YA KINA SOPHIA SIMA MTAKAA HAPO MTAPIGA KELELE MPAKA 2025 MBWA NYIE
NINGEKUWA SAWA LAKINI SIYOWE MWANAMKE MBWA MWENZAO?
Kwamba ninyamaze kwa mkwara wa kapuku kama wewe ? nikikubali hata shetani atanishangaa kwa ubwege !Basi kaa kimya!
Lazima unyamaze Job amekushika pabaya!Kwamba ninyamaze kwa mkwara wa kapuku kama wewe ? nikikubali hata shetani atanishangaa kwa ubwege !
Teh teh watu mnanyukana humuLazima unyamaze Job amekushika pabaya!
Duuu.Ndungai ni mgonjwa me nawahangaa mnaomshangaa
The man is sick
Huwa hawana imani na mahakama za nchi hii.Hivi mbona Chadema wasiende mahakami kuhoji hili jambo ila tipate tafsiri ya kisheria?
Ndio maana Sasa wamekomaa na wanacheza na papa na nyangumi kwa ujasiri kabisa.Bawacha na bavicha kwa ujumla wenu mlishindwa kutoa tamko mwaka 2015, wakati mwenyekiti alipopachika "mamluki" ndan ya chama kugombea uraisi na ubunge bila kufuata sheria wala kanuni za chama. Leo hii ndo mnajifanya kuonea dagaa huku papa akiendelea kucheza na akili zenu.
Papa yupo mkuu. Juzi kati alikuwa Dubai kutafuna hela ya chama, huku ofisi kuu ya chama haijalipiwa hela ya pango. Yote yanajulikana lkn ni nani wa kumfunga paka kengele!?Ndio maana Sasa wamekomaa na wanacheza na papa na nyangumi kwa ujasiri kabisa.
The man is not sick. Ana akili timamu kabisa. Kitu ambacho wengi wetu tunashindwa kuelewa ni kwamba Ndugai hatetei hao COVID-19, bali anatetea LIGASI.Ndungai ni mgonjwa me nawahangaa mnaomshangaa
The man is sick