Pale hatuna Spika tuna Garasa.Jana nilimwona na kumsikia Mhe. Spika Live akizungumzia hatma ya Wabunge 19 wa CHADEMA wanaotakiwa kufukuzwa Bungeni. Binafsi ninatofautiana na Mhe. Spika kuhusiana na hawa Wabunge. Kisheria hawapaswi kuwa Bungeni kwa sababu zifuatazo:...
Ongeza nyama kwenye hoja yako uelewekeKinachonikera ni wanavozitafuna kodi zetu wakati hawastahili....mamaeeehh!!!
Acha kutapatapa wamama walikata lufaaa. Onesha kikao kilichoketi kujadli rufaaa . kama siomaoneziiii tuuuuJana nilimwona na kumsikia Mhe. Spika Live akizungumzia hatma ya Wabunge 19 wa CHADEMA wanaotakiwa kufukuzwa Bungeni. Binafsi ninatofautiana na Mhe. Spika kuhusiana na hawa Wabunge...
Ongeza wewe mi hata sina nyama my dearOngeza nyama kwenye hoja yako ueleweke
Ni kama mzee Ndugai ameingia choo cha kike kirahisi. Huku ndiko kuingilia mambo ya chama kingine hata kama hakifai. Kwanini wasiridhike na kina Nyalandu wakaachana na Covid-19?Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu
Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19...
Eti CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani. Sijui ujinga huu wanautoa Ufipa?Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu
Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19....
Inawauma sanaaa Hivi viti maalumu.Huyu wacha apambane na Balaza la wanawake wa CDM ndiyo saizi yake!
Mwenyekiti hawezi kukubali.Hivi mbona Chadema wasiende mahakami kuhoji hili jambo ila tipate tafsiri ya kisheria?
Kwahiyo Ndugai anapambana na Maamuzi ya wengi wa Chadema?The man is not sick. Ana akili timamu kabisa. Kitu ambacho wengi wetu tunashindwa kuelewa ni kwamba Ndugai hatetei hao COVID-19, bali anatetea LIGASI. COVID-19 ni mojawapo ya LIGASI kuu za Chuma, Shujaa wa Afrika ambazo watetezi wamejiapiza watazitetea mpaka silaha ya mwisho iliyoko mikononi mwao! Kwa hivyo, ni mpambano mgumu.