TAARIFA KWA UMMA
Baraza Kuu la Wanawake Chadema linawatangazia wanachama wake mambo yafuatayo;
Tumefuatilia kitu kinachoitwa TK Movement na Kujiridhisha kwamba wapo baadhi ya wanachama wetu, wameamua kujiunga na Movement hiyo.
Tumejiridhisha kuwa TK ni Sehemu ya CCM hivyo msishirikiane nao na kufanya nao kazi.
TK movement inamuunga mkono Rais Samia, TK Movement haina maslahi yoyote na malengo yetu, na kila sehemu iliokuwa inazinduliwa imekuwa ikiathiri mahusiano yetu na wanachama wetu.
TK imevaa joho kama jukwaa huru la vijana na wakina Mama lakini tumefanya uchunguzi katika mikoa 15 ambayo imekuwa imezinduliwa inamjenga zaidi Rais Samia na CCM kuliko malengo ya Utaifa.
Hivyo kupitia taarifa hii tunapenda kuwaambia wanachama wote wa Bawacha kuwa macho na Movement hii ambayo kimkakati inakiathiri zaidi chama chetu na kutuondolea uhalali wakina mama na chadema kwa ujumla.
TK Movement haina afya kwa malengo ya baadae kwani inasajili wanachama kwa njia ya kidigitali na imekuwa ikishawishi viongozi wetu kujiunga na TK na kuacha shughuli za chama. Hivyo viongozi tunawataadharisha na kuweni macho na TK.
TK ni Jukwaa la Samia na CCM, viongozi na Wanachama waache mara moja kujihusisha na wakijulikana tunawachukulia hatua.