Kumbe hiki chama ni cha walokole!!Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
Tafsiri yako....ila CDM ni ya kila mtuKumbe hiki chama ni cha walokole!!
ingependeza zaidi ungeandika wachoma vitenge wa BAWACHA wamuombea kinafiki, kaidi mjeuri mropokaji bila kutubu kufuru ya kuchoma vitenge hadharani 🐒Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
WalokoleTafsiri yako....ila CDM ni ya kila mtu
Akili yako ndogo sana. Watu kumwomba Mwenyezi Mungu awaepushe na hili joka ccm ndo ulokole?Kumbe hiki chama ni cha walokole!!
Kweli maombi ya Chadema sio ya wananchi kakundi ka kinamama..Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
Wengine wameamkia kwa mabwana,midomo wanayoombea ndiyo wanayonyonyea sehemu zisizo tamkikaWanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.