BAWACHA wangeachwa wafanye kongamano lao wasingetrend kama sasa. CCM akili hamna

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT

Sijui mentor wa maCCM ni nani? Mnazidiwa akili na chadema yenye rasilimali watu wachache

Chadema walijua kabisa mkiwazua kufanya Tamasha lao ndo watapata airtime zaidi huko duniani na mtego huo mmeshindwa kunasua.

Kama mgepiga kimya wakajifanyia Tamasha lao hakuna mtu angekaa kufuatilia ila kwa sasa masikio yote yapo huko watu wanataka kujua mtawafanya nini aha ha a.

CCM huwa inajichafua yenyewe kwa mambo madogo madogo kama haya mwisho wa siku hujenga chuki kubwa kwa raia.
 
Hamna mwenye ajili mgongoni mwao,kwani?Ukijiunga nao ubongo wako sharti uuache getini ukutane nao ukiwa na fuvu tupu!
 
Back
Top Bottom