The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Huu ni ukweli mtupuKuna mambo yanafanyika kwenye taifa hili na yanakuthibitishia kuwa taifa hili kwa sasa Lina ukame wa critical thinking people
Ambao wanaweza kutamka jambo na taifa lote likatulia
Hamna mwenye ajili mgongoni mwao,kwani?Ukijiunga nao ubongo wako sharti uuache getini ukutane nao ukiwa na fuvu tupu!GT
Sijui mentor wa maCCM ni nani? Mnazidiwa akili na chadema yenye rasilimali watu wachache
Chadema walijua kabisa mkiwazua kufanya Tamasha lao ndo watapata airtime zaidi huko duniani na mtego huo mmeshindwa kunasua.
Kama mgepiga kimya wakajifanyia Tamasha lao hakuna mtu angekaa kufuatilia ila kwa sasa masikio yote yapo huko watu wanataka kujua mtawafanya nini aha ha a.
CCM huwa inajichafua yenyewe kwa mambo madogo madogo kama haya mwisho wa siku hujenga chuki kubwa kwa raia.