Bawasiri inanitesa

Bawasiri inanitesa

Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aluwahi kupona. ..nna bawasiri mwaka8 haiumi,haiwashi,nawala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Mkuu pole sana.
Sijajua upo mkoa gani ila nenda kwenye yale maduka ya dawa za kisuni kaulize dawa inaitwa halbart soda sijui kama nimepatia kuandika ila itakusaidia.

Kwa Dar haya maduka yapo karibu na misikiti yote mikubwa kama manyema ule pale karibu na lumumba! Kisutu na idrisa
 
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.

Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone

Pole sana

Matibabu ya bawasiri hutegemea hatua iliyofikia. Kuna matibabu ya dawa na mwisho ni kuondoa kwa upasuaji hasa kama imefikia hatua ambayo dawa haiwezi kutibu au kama tiba ya dawa imeshindwa kuleta matokeo chanya.

Kwa hiyo fika hospital kwa daktari akuchunguze na kukupatia matibabu sahihi.

Kila la kheri.
 
Ningekutumia picha ya dawa mama yangu alikuwa anatibia watu wamepona sema daaaah kuna changamoto inanizuia siwezi kutoka nje kwenda kutafuta hayo majani lakini ipo siku nitakutumia kama utakuwa hujapata
 
Hiyo ni bawasiri ya nje nakupa Dawa mbili tumiaa ndani ya wiki moja alafu utakuja kunishukuru.

Tafuta mafuta ya habati souda paka wakati wa kuamka na kulala
Pili chukua habati Sauda ya uunga AU mbegu tafuna kwa wiki moja hapa unatibu ndani na nje.

Paka maji maji ya mgomba unakata mgomba alafu Yale maji ya katikati yapake kwenye Bawa wiki moja.

Au paka mafuta ya mnyonyo huko Kwenye Bawa

Mwisho
Usikae Muda mrefu chooni
Kula matunda
Maji mengi
Fanya mazoezi
Usikae Sana Chino
 
Pole sana

Matibabu ya bawasiri hutegemea hatua iliyofikia. Kuna matibabu ya dawa na mwisho ni kuondoa kwa upasuaji hasa kama imefikia hatua ambayo dawa haiwezi kutibu au kama tiba ya dawa imeshindwa kuleta matokeo chanya.

Kwa hiyo fika hospital kwa daktari akuchunguze na kukupatia matibabu sahihi.

Kila la kheri.
Ina maana Dr anakaguaje yaani maana wanasema ipo sehemu nyeti..
 
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.

Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Pole sana tafuta mafuta ya nyonyo tafuta gamba la konokono lichome kwenye moto kisha kisha lisage unga wake changanya na mafuta ya nyonyo kisha paka kwenye bawasili wakati wa kulala tumia ndani ua wiki mbili uje utoe ushuuda
 
Back
Top Bottom