Bawasiri inanitesa

Bawasiri inanitesa

Ningekutumia picha ya dawa mama yangu alikuwa anatibia watu wamepona sema daaaah kuna changamoto inanizuia siwezi kutoka nje kwenda kutafuta hayo majani lakini ipo siku nitakutumia kama utakuwa hujapata
Mkuu naomba na mimi unitumie pm pls
 
Ina maana Dr anakaguaje yaani maana wanasema ipo sehemu nyeti..

Ndiyo, ni kweli ipo sehemu nyeti lakini ni lazima ikaguliwe. Huwezi tu kupewa dawa bila kufanyiwa uchunguzi vizuri.
Vinginevyo hakuna sehemu nyeti linapokuja suala la maradhi.
 
Mkuu pole sana.
Sijajua upo mkoa gani ila nenda kwenye yale maduka ya dawa za kisuni kaulize dawa inaitwa halbart soda sijui kama nimepatia kuandika ila itakusaidia.

Kwa Dar haya maduka yapo karibu na misikiti yote mikubwa kama manyema ule pale karibu na lumumba! Kisutu na idrisa
Habat Sawda ikitamkwa kiarabu inasikika kama vile ni dawa fulani ya ajabu. Ni mbegu tu.
Jina la kiingereza ni "black seeds", kitaalamu Nigella sativa.
 
Fungua radio one, saa 10 na nusu mpaka 12, kipindi cha gumzo, uliza swali utajibiwa.
 
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.

Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Mkuu pole kw ahayo maradhi ya bawasiri yanakutia pia umasikini kwani ukiw anayo hayo maradhi unakuw amasikini wakutupwa nitafute mimi kw awakti wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Back
Top Bottom