Bawasiri inanitesa

Bawasiri inanitesa

Hili Gonjwa limeshamiri uraiani, sijui sababu ni nini.
 
Kula matunda yenye nyuzinyuzi ( mf. Embe) na mengine yenye kilainishi (mf. papai n.k)na salad kwa wingi. Punguza vyakula vya wanga nyingi (carbonic acid) mf. Corn 🌽 na wali. Pia usitumie pombe Kali.
Ukitokea umekula nyama nyingi na fast food nyingi next day piga salad na matunda kwa wingi.
 
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.

Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Mimi nilitumia hii Kuna jirani yetu anauza
 

Attachments

  • 71UeSavWaYL._AC_UF1000,1000_QL80_FMwebp_.jpg
    71UeSavWaYL._AC_UF1000,1000_QL80_FMwebp_.jpg
    123.6 KB · Views: 13
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.

Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Hiyo ni sugu tiba yake ni kupiga bomba 2mils kupitia haja kubwa dawa isiingie zaidi ya sm 10 kuna vifaa maalum.
Lakini kuna mixture ya dawa tatu zinazotumika. Nitafute.
 
Back
Top Bottom