malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
The passage is not clear,kwahiyo hayuko comfortable...Sasa kama haiumi, haiwashi, haitoi damu, shida iko wapi?
Kwa nini unamjibia wakati sijakuuliza wewe na mwenyewe yupo?The passage is not clear,kwahiyo hayuko comfortable...
Unataka kuua figo zake na ini lake miaka michache ijayoTafuta alovera saga kwenye blender. Changanya na azam embe kupunguza makali kunywa. Mlo wako usikose mboga za majani na matunda. Punguza muda wa kukaa choon wakat wa haja kubwa. Kunywa maji ya kutosha
YeahThe passage is not clear,kwahiyo hayuko comfortable...
Mkuu pole sana.Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aluwahi kupona. ..nna bawasiri mwaka8 haiumi,haiwashi,nawala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.
Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Ina maana Dr anakaguaje yaani maana wanasema ipo sehemu nyeti..Pole sana
Matibabu ya bawasiri hutegemea hatua iliyofikia. Kuna matibabu ya dawa na mwisho ni kuondoa kwa upasuaji hasa kama imefikia hatua ambayo dawa haiwezi kutibu au kama tiba ya dawa imeshindwa kuleta matokeo chanya.
Kwa hiyo fika hospital kwa daktari akuchunguze na kukupatia matibabu sahihi.
Kila la kheri.
Pole sana tafuta mafuta ya nyonyo tafuta gamba la konokono lichome kwenye moto kisha kisha lisage unga wake changanya na mafuta ya nyonyo kisha paka kwenye bawasili wakati wa kulala tumia ndani ua wiki mbili uje utoe ushuudaMsaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.
Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone