Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita.
Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's.
Baye Fall wao tofauti na Waislamu wengine wengi wanafuga rasta kama Rastafarians, swala kwao sio muhimu na hawafungi Ramadhani. Msingi mkubwa wa imani yao ni kufanya kazi tu na kusaidia wengine wasiojiweza.
View attachment 3207244