Bayern Munich wamekabwa huko walidhani ni mterenko

Bayern Munich wamekabwa huko walidhani ni mterenko

Die hard Barcelona fan since 1993. Enzi za Stoickov, Koeman na Romaria.
 
Hv ile stail ya ushangiliaj wa gnaby tunaiitaje wakuu
 
No GG here[emoji2297][emoji2297][emoji2211][emoji2211][emoji2211] bye Lyon
 
Mkuu Lyons watafunga moja kabla half time. Baada ya half time wataongeza linguine. Hii gemu itaenda hadi penati. Ila dakika 15 lyon walikuwa tishio. Wamepoteza nafas 3 za wazi
Mkuu utakuwa unaota!
 
Kapigika magoli matatu

Mleta mada hiyo heading Unawa-tag mods wabadirishe au unasubiri waje wasanuke wenyewe?
 
Back
Top Bottom