Bayern Munich wamekabwa huko walidhani ni mterenko

Bayern Munich wamekabwa huko walidhani ni mterenko

Samahan jaman muwe na huruma mambo ya kuanza kikumbushana misiba siyo zuri
Ikiwa mm kama shabiki wa Barcelona naomba hili swala la kufungwa goal 8 tuache kulizungumzia kidogo.., kunamengi ya kujadil tofauti na hlo
 
Hahahahaha pole mkuu hiyoo ndo bayn
 
PSG vs Bayern, itaamuliwa na viungo,maana timu zote zinafana kwa forward nzuri na beki mbovu
 
Akina Lewandowski, Davis, mulkar haya amini. Na wanabahati wangeshapigwa 3. Ni dakika ya 20 yanapelekeshwa Bala na lyon. Na Lyons watashinda hii mechi.

Bwahaha sijui eti chuma cha mjerumani kwikwi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Lete mrejesho boss
 
Back
Top Bottom