Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
- Thread starter
-
- #21
Kipind cha Wenger walikuwa wanamwona pimbi sana pale arsenalHuyu jamaa Gnabry ameharibika kabisa yaani ni mwarobaini
Na mdogo ake Alfonso davis
Hiki kimbunga cha bayern sio mchezo, nilianza kumkaba kitambo lakini naambulia maumivu. Ngoja tounea hiyo last chance labda muujiza utatokeaIla PSG bingwa.
Mkuu Lyons watafunga moja kabla half time. Baada ya half time wataongeza linguine. Hii gemu itaenda hadi penati. Ila dakika 15 lyon walikuwa tishio. Wamepoteza nafas 3 za wazi
Labda PSG aingie na goli tatu(3), ndo atashinda.Ila PSG bingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] unamaana anaota daah nimecheka hatariAmka usije kujikojolea sasa
Mkuu utakuwa unaota!Mkuu Lyons watafunga moja kabla half time. Baada ya half time wataongeza linguine. Hii gemu itaenda hadi penati. Ila dakika 15 lyon walikuwa tishio. Wamepoteza nafas 3 za wazi
Ana mimba afu anatukana wakungaDuuh kwanini ulikimbilia kuanzisha uzi mapema namna hiyo?
Unatukana mamba kabla haujavuka mto?